True life has no meaning .Maisha hayana maana.
Ni mtu mwenyewe ndiye huamua kuyapa Maana
Kusudi la kuja Duniani unalo mwenyewe.
😂😂😂 We si umesema unahitaji msaada juu ya hili jamboNi kuinjoi na mishangazi na wamama wenye mashepu ya kuvutia
Ipo siku Said atageuzwa Saida.Ni kuinjoi na mishangazi na wamama wenye mashepu ya kuvutia
True life has no meaning .
Crab -
Kuja duniani kutoka wapi?Maisha hayana maana... Na Dunia ni uwanjawa fujo. Hapa nina maana kwamba wewe fanya vurugu zako ukimaliza unaondoka anakuja mwingine.
Kwahiyo kila mtu ana lengo lake la kuja duniani na kama tungekuwa na lengo moja basi tungefanana namna ya kuishi.
Nb: ni mtazamo wangu tu.
Simple kabisa🤣🤣uhakika ni kuzaliwa na kifo basi hapo kati itategemea na kipawa chako..Maisha hayana maana... Na Dunia ni uwanjawa fujo. Hapa nina maana kwamba wewe fanya vurugu zako ukimaliza unaondoka anakuja mwingine.
Kwahiyo kila mtu ana lengo lake la kuja duniani na kama tungekuwa na lengo moja basi tungefanana namna ya kuishi.
Nb: ni mtazamo wangu tu.