punguza nyege dadaHuku mikoani ukija umama wote wa Dar unaishi.
Mbona hilo suala limekuuma sana au nawe unaishi kwa njia waishio madada zako huko Dar.punguza nyege dada
punguza nyege dadaMbona hilo suala limekuuma sana au nawe unaishi kwa njia waishio madada zako huko Dar.
punguza nyege dada
punguza nyege dadaUmekuja kumtetea Basha wako, endelea kuishi kwa kugombania bikini na dada zako.
Nimekupenda kwa avatar[emoji7]beefNdio pakujiongeza ujiajiri usiishi maisha ya kuwa mtumwa wa ajira. Ili uwe huru kuishi unapopataka
Miaka mingi iliyopita niligundua kwamba huu nao ni 'ushamba', yaani kuwa na exposure ya mkoa mmoja tu (hasa Dar) na kuhisi huwezi kuishi mkoa mwingine. Nashukuru 'ushamba' huo ulinitoka.Dah,kuna mwana anahamishwa kitengo toka dsm anaenda manyara..nawaza siku inifike mim hii kitu,na kaz naacha
Maana mi boni hia hia,nmezaliwa ,soma hia hia,madem zangu woote wako hia hia,michongo yotee,vichochoro vyoote,.daah
Mi ntaacha kaz...
Bora nile nyasi kuliko kuhama dsm,.
Jus thinkn out loud.