Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hahhaah mzee baba nanjilinji hapo jirani kabisaa na mjini fursa za kutosha...ungeletwa huku mtamba-swala ingekuwaje???Sio bongo kiongoz,nanjilinji unakujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaah mzee baba nanjilinji hapo jirani kabisaa na mjini fursa za kutosha...ungeletwa huku mtamba-swala ingekuwaje???Sio bongo kiongoz,nanjilinji unakujua
Amna haja ya kusaka pesa kama uipendi dar bossKatika sehemu ambazo sipendi kuishi nchi hii ni Mikoa ya Dar, Lindi na Mtwara(Kanda ya Pwani na Mashariki) Ningekuwa nimeajiriwa ningechagua kuishi kanda ya Ziwa Magharibi, Nyanda za Juu Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Kwa wale mliosoma Jiografia shule ya msingi miaka ya themanini mnaelewa naongelea mikoa gani
Exposure wapNapoleone mwanaume haogopi kazi. Masuala ya kusema kuwa unaogopa kuhamishwa kisa umekulia dar huo ni umama.
masuala ya kusema kuwa madem wako qote wako dar so unaogopa kuhamishwa huo ni umama.
Mkoa wa manyara si porin, kumeendelea siku izi. Nenda kajifunze maisha sehemu nyingine toka hapo dar ukapate exposure ya mikoa mingine.
Inategemea shida kwako ni nini? Kwa wengine shida ni joto, foleni, tabu ya usafiri n.k.Inategemea,hakuna mtu anaependa shida,unitoe kwenye lami unipeleke kwenye vumbi kiongoz
Mi nilipewa transfer toka Dar to Bukoba huko ndani aisee,nilipanick sana ule mwezu mzima wa kujiandaa nilikua na mawazo mpaka nikapungua uzito,nikaenda Bukoba maisha niliyokutana nayo ni magumu sijazoea kiufupi sikua comfortable any more,nilikaa only miezi miwili nikaamua niache kazi,maana maisha yale nilikua narudishwa nyuma like 5 yrs back......nikaacha kazi nikarudi mjini nikasema msinitanie mimi sikufoji vyeti kwa hili sitavumilia bora niachane na nyie,....basi mpaka saa hizi nipo mjini napambana na maisha yangu siku zinaenda!
Exposure wap
Ukiajiriwa mzee ndiyo hivyo!Dah,kuna mwana anahamishwa kitengo toka dsm anaenda manyara..nawaza siku inifike mim hii kitu,na kaz naacha
Maana mi boni hia hia,nmezaliwa ,soma hia hia,madem zangu woote wako hia hia,michongo yotee,vichochoro vyoote,.daah
Mi ntaacha kaz...
Bora nile nyasi kuliko kuhama dsm,.
Jus thinkn out loud.
Ah wapi... siwezi furahia mzee nitahuzunika maana dar kutanikwamisha sana kuendeleza maendeleo yangKuchanganyikiwa kwetu kuko tofaut kiongoz,we utachanganyikiwa kwa furaha mi kwa huzun