Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wanaume wa daslam katika ubora wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi mama imekuwa tusi,yaan kitu cha kipuuzi mnakiita umama! Daaah poleni sana kina mamaHuku mikoani ukija umama wote wa Dar unaishi.
Siku hizi mama imekuwa tusi,yaan kitu cha kipuuzi mnakiita umama! Daaah poleni sana kina mama
Nasikitika tu ushamba kutuzidi na kugeuza neno mama kama kitu kisicho na thamani kuwa kila mwenye sifa dhaifu basi ni mama ni hilo tu mkuuKinachokuuma nini kuwa mama au?
Nasikitika tu ushamba kutuzidi na kugeuza neno mama kama kitu kisicho na thamani kuwa kila mwenye sifa dhaifu basi ni mama ni hilo tu mkuu
Dah,kuna mwana anahamishwa kitengo toka dsm anaenda manyara..nawaza siku inifike mim hii kitu,na kaz naacha
Maana mi boni hia hia,nmezaliwa ,soma hia hia,madem zangu woote wako hia hia,michongo yotee,vichochoro vyoote,.daah
Mi ntaacha kaz...
Bora nile nyasi kuliko kuhama dsm,.
Jus thinkn out loud.
Halafu huu ujinga wa kuhamisha watu umeshspitwa na wakati, ni upuuzi sana!
Miaka mingi iliyopita niligundua kwamba huu nao ni 'ushamba', yaani kuwa na exposure ya mkoa mmoja tu (hasa Dar) na kuhisi huwezi kuishi mkoa mwingine. Nashukuru 'ushamba' huo ulinitoka.