Hivi leo hii nihamishwe kazi niende mkoa nahisi nitachanganyikiwa jamani

Hivi leo hii nihamishwe kazi niende mkoa nahisi nitachanganyikiwa jamani

Katika sehemu ambazo sipendi kuishi nchi hii ni Mikoa ya Dar, Lindi na Mtwara(Kanda ya Pwani na Mashariki) Ningekuwa nimeajiriwa ningechagua kuishi kanda ya Ziwa Magharibi, Nyanda za Juu Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Kwa wale mliosoma Jiografia shule ya msingi miaka ya themanini mnaelewa naongelea mikoa gani
 
Napoleone mwanaume haogopi kazi. Masuala ya kusema kuwa unaogopa kuhamishwa kisa umekulia dar huo ni umama.

masuala ya kusema kuwa madem wako qote wako dar so unaogopa kuhamishwa huo ni umama.

Mkoa wa manyara si porin, kumeendelea siku izi. Nenda kajifunze maisha sehemu nyingine toka hapo dar ukapate exposure ya mikoa mingine.
Dah,kuna mwana anahamishwa kitengo toka dsm anaenda manyara..nawaza siku inifike mim hii kitu,na kaz naacha

Maana mi boni hia hia,nmezaliwa ,soma hia hia,madem zangu woote wako hia hia,michongo yotee,vichochoro vyoote,.daah

Mi ntaacha kaz...
Bora nile nyasi kuliko kuhama dsm,.

Jus thinkn out loud.
 
Una mwaka na zaidi humu nafikiri ulipaswa uende ki Jf zaidi! Ila naomba nitumie msemo maarufu humu kwa watu wa aina yako "NAOMBA NIKUPUUZE MKUU"
 
Kamwamboe mheshimiwa rais pale magogoni. Wati watahamishwa na leo kesho na hata milele. Thats how goverment imepanga. Sion ujinga hapo.
Halafu huu ujinga wa kuhamisha watu umeshspitwa na wakati, ni upuuzi sana!
 
Nilisema maneno hayo hayo , kilichotokea nilipata transfer to Zanzibar mpaka sasa najiuliza nini kilitokea maana ilikua ghafla tuu ...
Maisha popote son
Acha kabsa kiongoz,haya maisha haya
 
Inategemea,hakuna mtu anaependa shida,unitoe kwenye lami unipeleke kwenye vumbi kiongoz
Miaka mingi iliyopita niligundua kwamba huu nao ni 'ushamba', yaani kuwa na exposure ya mkoa mmoja tu (hasa Dar) na kuhisi huwezi kuishi mkoa mwingine. Nashukuru 'ushamba' huo ulinitoka.
 
Back
Top Bottom