Hivi leo hii nihamishwe kazi niende mkoa nahisi nitachanganyikiwa jamani

Amna haja ya kusaka pesa kama uipendi dar boss
 
Exposure wap
 
Mi wa 2012 mkuu hum jf
Una mwaka na zaidi humu nafikiri ulipaswa uende ki Jf zaidi! Ila naomba nitumie msemo maarufu humu kwa watu wa aina yako "NAOMBA NIKUPUUZE MKUU"
 
Mi nilipewa transfer toka Dar to Bukoba huko ndani aisee,nilipanick sana ule mwezu mzima wa kujiandaa nilikua na mawazo mpaka nikapungua uzito,nikaenda Bukoba maisha niliyokutana nayo ni magumu sijazoea kiufupi sikua comfortable any more,nilikaa only miezi miwili nikaamua niache kazi,maana maisha yale nilikua narudishwa nyuma like 5 yrs back......nikaacha kazi nikarudi mjini nikasema msinitanie mimi sikufoji vyeti kwa hili sitavumilia bora niachane na nyie,....basi mpaka saa hizi nipo mjini napambana na maisha yangu siku zinaenda!
 
Yajayo Dsm yanafurahisha.

Jipange vyema ili siku ukihamishwa uwe ngangari.
 
Acha tuu mkuu,yataka moyo
 
Mikoa mingine. Hii nchi ni kubwa sana kuliko unavyodhani. Dar ni mkoa mdogo sema watu hawajui.
huko mikoani unapolalamika ndio wenzako wanakimbilia wanafanya miradi mikubwa wanapiga pesa.
Kuna fursa kibao nje ya dar nyingi sana kuliko unavyodhani
Exposure wap
 
Inategemea shida kwako ni nini? Kwa wengine shida ni joto, foleni, tabu ya usafiri n.k.
Dar hakuna joto kiongoz,kwa wazawa wa dar tunaona kawaida tu,wengne hatupend barid
 
Ukiajiriwa mzee ndiyo hivyo!
 
Dar kuchafu,watu Hawaogi,kuna mbu,nzi,foleni.mmmh Dar hapana kwa kweli
 
Kungekua hivo,bas Mo ,Manji,marais wastaaf wote,.diamond ,Meng etc wasingeish dar kiongoz,...hayo maneno yako hata kwenye kanga yapo
Dar kuchafu,watu Hawaogi,kuna mbu,nzi,foleni.mmmh Dar hapana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…