matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Ndicho tu wanachojua. Kumfungia.Atajaza watu ila chama hakitochukua miezi mitatu mbele bila kufungiwa mazima
Wangejua na kujibu hoja tungekuwa salama na tungekuwa mbali hata maendeleo.
Ndicho tu wanachojua. Kumfungia.Atajaza watu ila chama hakitochukua miezi mitatu mbele bila kufungiwa mazima
Ukini block utakuwa umekosa jabali la ilimuUna shida wewe sio siri, kuepuka kusoma chuki zako za kidini ngoja nikupe block nisione upuuzi wako
Mkuu mbona unapiga nyundo mahali ambapo sio😀Lazma apate nyomi.
Lissu ni mpinzani wa chama tawala.
Lissu ana maono yake.
Lissu ana wafuasi wake.
Lazma ajaze.
Itisha wewe tuone? Kama utapata nyomi.
Subir mamako atekwe alafu uje uhubiri amani hapaJana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI View attachment 3513728
Unewaza upande wa pili lakini madhara yake ndani ya CHADEMA na unaharakati unaoendelaNdicho tu wanachojua. Kumfungia.
Wangejua na kujibu hoja tungekuwa salama na tungekuwa mbali hata maendeleo.
WalewaleNa yule aliekampiga Risasi ili ampoteze mazima je??nani zaidi