PostGE2025 Hivi leo Lissu akatoka akaitisha mkutano, unadhani mwitikio utakuwaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lazma apate nyomi.
Lissu ni mpinzani wa chama tawala.
Lissu ana maono yake.
Lissu ana wafuasi wake.
Lazma ajaze.
Itisha wewe tuone? Kama utapata nyomi.
Mkuu mbona unapiga nyundo mahali ambapo sio😀
 
Subir mamako atekwe alafu uje uhubiri amani hapa
 
Ndicho tu wanachojua. Kumfungia.

Wangejua na kujibu hoja tungekuwa salama na tungekuwa mbali hata maendeleo.
Unewaza upande wa pili lakini madhara yake ndani ya CHADEMA na unaharakati unaoendela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…