double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,399
- 2,541
Hapana. Ila mimi siishi kwa maziwa tu.Unahitaji urudi 1980 ndio ununue maziwa ya Tanzania badala ya kutoka South Africa? Si ni kiasi cha kuamua tu?
Natumia vingi vya kitanzania.
Ila si vyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Ila mimi siishi kwa maziwa tu.Unahitaji urudi 1980 ndio ununue maziwa ya Tanzania badala ya kutoka South Africa? Si ni kiasi cha kuamua tu?
Nimetolea mfano wa maziwa, sijasema unaishi kwa maziwa. Sasa hoja ya kurudi 1980's ndio tuweze kutumia vya ndani ilikujaje?Hapana. Ila mimi siishi kwa maziwa tu.
Natumia vingi vya kitanzania.
Ila si vyote.
Ubora hautongezeka kwa sababu watu watakuwa wanapata faida. Wanaweza wazalishe chini ya viwango.Nimetolea mfano wa maziwa, sijasema unaishi kwa maziwa. Sasa hoja ya kurudi 1980's ndio tuweze kutumia vya ndani ilikujaje?
Hoja ya ufala hasa ni ipi? Maana vitu vingine ni kasumba tu, mtu akisikia bidhaa hii ni ya Tz automatically anaiona haifai, ila akiambiwa ni ya ujerumani anaichangamkia, tujitafuna wenyewe.Kwani kuna nchi inayojitosheleza kwa kila kitu?
Kutumia inferior goods kisa uzalendo ni ufala
Hoja ya ufala hasa ni ipi? Maana vitu vingine ni kasumba tu, mtu akisikia bidhaa hii ni ya Tz automatically anaiona haifai, ila akiambiwa ni ya ujerumani anaichangamkia, tujitafuna wenyewe.
Bidhaa za majirani zimetuzidi packaging na wanavyojitangaza na hili Ni kawaida kwa sababu wao uzalishaji wameuanza zamani.Hapana kuna bidhaa za tz nzuri ila huwezi linhanisha na za majirani zetu
Ina maana huu uzi unaouona ni wa kifala?, hebu tuambie ufala wa huu uzi ni nini?, mleta mada arekebishe nini kwenye huu uzi ili uonekane siyo wa kifala?, tuambie.phala kweli, iyo simu uliyotumia kuposti upumbavu nayo itengenezwe TZ ?
Bidhaa za majirani zimetuzidi packaging na wanavyojitangaza na hili Ni kawaida kwa sababu wao uzalishaji wameuanza zamani.
Kwa bidhaa za viwanda vikubwa Ni sawa maana teknolojia inahusika sana ila kwa vitu vidogo, Tanzania tuna products nyingi nzuri.
Kuna bidhaa za sabuni Kama Zoazoa Ni nzuri Sanaaaa, hazina kemikali ila zinafanya kazi vizuri. Ila failure Ni kwenye packaging
Ubora wa bidhaa hupimwa kwa kuangalia angle tofauti na ukiangalia post yangu ya nyuma utaona nimekubali kuwa bado tuna upungufu au madhaifu katika uzalishaji ukilinganisha na wenzetu maana wao walianza kitambo.Zoazoa ni nzuri ukilinganisha na?
Majirani zetu hizi bidhaa wanazotuuzia hapa ni nzuri sana
Omo
Blueband
Prestige
Vaseline
Onga
Ariel
Toss
Jamaa sabuni mche
Tafuta sabuni au bidhaa kama hizo zitengenazwo Tz ulinganishe ubora wake
Mfano, maziwa ya Tz , yana ubora wa hali ya juu, ila watu bado watanunua ya sauziUbora hautongezeka kwa sababu watu watakuwa wanapata faida. Wanaweza wazalishe chini ya viwango.
Labda tuweke viwango vya juu kwanza halafu tutumie hivyo.
Wengi tunaotumia bidhaa za kwetu hapa kama mbadala.
Hata mifuko ya plastiki tulianza hivi hivi humu humu, kwa miaka mingi, hatimae tukafanikiwa.Watanzania maendeleo tusahau, yaani uzi wa maana na wa faida kwa nchi yetu kiuchumi ila hata hamlike!!.
Naunga mkono hoja.
MAONI YANGU:
Ili hili suala lifanikiwe 100%, tuvitumie vyombo vya habari vyote kutangaza kwamba ni lazima kununua bidhaa tulizotengeneza wenyewe kwa faida ya uchumi wetu. Kwa nguvu ya ushawishi wa vyombo vya habari, hili suala litafanikiwa kupita kiwango kilichotarajiwa, kama tulivyofanikiwa kwenye mifuko ya plastiki kwa kuvitumia vyombo vya habari.
Acha ujinga, kwenye post yangu nimesema kabisa kwamba unless iwe haizalishwi Tz, lakini kama inazalishwa Tz basi tuwe wazalendo na kununua ya watzphala kweli, iyo simu uliyotumia kuposti upumbavu nayo itengenezwe TZ ?
Na ndio China walichofanikiwa, mwaka 1960 tulikuwa nao sawa kiuchumiExport export export export.
Ni kweli kabisa, tukijitosheleza soko la ndani automatically tutasaka ya nje, huwezi kuwaza export chumvi Rwanda wakati umeshindwa kuisambaza soko la ndani.Na ndio China walichofanikiwa, mwaka 1960 tulikuwa nao sawa kiuchumi