Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

Hakuna taifa lilishawahi kua superpower kwa kufunga mipaka!

Taifa linakua superpower kwa kujenga bidhaa bora na kuuza kuvuka mipaka!

Mnakoswa akili ba mawazo hovyo namna hii inafanya hadi mtu anaona Bashite ana akili zaidi!

Majinga ni mengi humu!
 
Hivi tuna toilet papers Tanzania?
1140641
 
Ingekuwa upo uwezekano wa kuagiza umeme kutoka ughaibuni, amini nakwambia kuna vigogo wasingekuwa wanatumia huu wa tanesco. Laiti kama ingekuwa kumlipa mfanyabiashara mmoja wakitanzania mihela yote kwa bidhaa au huduma anayozalisha, hakika leo hii tangu uhuru nchi nzima ingekuwa na umeme pamoja na huduma za simu za ttcl. Maana kwa kipindi kirefu pesa ilikuwa haiendi kwingine zaidi ya kwao peke yao, lakini hadi sasa hali ndio hii.
 
Ni kweli kabisa, tukijitosheleza soko la ndani automatically tutasaka ya nje, huwezi kuwaza export chumvi Rwanda wakati umeshindwa kuisambaza soko la ndani.
Exactly, na hakuna sababu ya kuacha kununua Neel salt na kisha ukanunue Malindi salt, ni ujinga
 
Hakuna taifa lilishawahi kua superpower kwa kufunga mipaka!

Taifa linakua superpower kwa kujenga bidhaa bora na kuuza kuvuka mipaka!

Mnakoswa akili ba mawazo hovyo namna hii inafanya hadi mtu anaona Bashite ana akili zaidi!

Majinga ni mengi humu!
Sasa kuanza kununua vya ndani si ndio mwanzo wa kupata uwezo wa kuboresha bidhaa zitakazoshindana kwenda nje, kisha ndio tufungue mipaka? Ukifungua mipaka wakati hujajiimarisha basi utaishia kua dampo la takataka toka nje
 
Ingekuwa upo uwezekano wa kuagiza umeme kutoka ughaibuni, amini nakwambia kuna vigogo wasingekuwa wanatumia huu wa tanesco. Laiti kama ingekuwa kumlipa mfanyabiashara mmoja wakitanzania mihela yote kwa bidhaa au huduma anayozalisha, hakika leo hii tangu uhuru nchi nzima ingekuwa na umeme pamoja na huduma za simu za ttcl. Maana kwa kipindi kirefu pesa ilikuwa haiendi kwingine zaidi ya kwao peke yao, lakini hadi sasa hali ndio hii.
Inashangaza, kalemani alisema kuna mameneja wanashirikiana na wafanyabiashara ili kufake uhaba wa vifaa ili kujustify kuagiza toka nje, ni ubinafsi wa hali ya juu
 
Sasa kuanza kununua vya ndani si ndio mwanzo wa kupata uwezo wa kuboresha bidhaa zitakazoshindana kwenda nje, kisha ndio tufungue mipaka? Ukifungua mipaka wakati hujajiimarisha basi utaishia kua dampo la takataka toka nje
Thats how not to do it mzee.....

Unaacha,wanashinda kwa sasa wakati wewe una strengthen product quality then baadae unampita muhusika...

Ukipata hasara leo sio eti utapata hasara kesho!

Leo wanashinda wewe unajipanga kwa kesho...

Na pia hutaweza kuzalisha kila kitu pekee yako,lazima kuna baadhi lazima utegemee wengine!

Ukiwa-cut out now wewe keshokutwa utauza wapi?

Na remember competition itakufanya uzidi ku-innovate mpaka umshinde,ila ukimfukuza wewe ukabaki innovation sahau.Utakua unajidanganya internally eti upo strong kumbe hapo nje wanakushinda kila kitu...

China alikua anachukua kila kitu Japan,US na Taiwan bila kuwafungia,then kafanya reverse engineering now yeye ndio anapeleka huko....

Ila kuepuka negativity wakati ndio unatoka nje wakati huo,huna budi kuwaachia wao now....

Protectionism has always proven to be a failure!
 
Upo out of context, hakuna bidhaa toka nje inayozuiwa kuja Tanzania, ila pia fahamu kwa sasa Tz ipo kwenye a vicious cycle ya lower quality, higher price kitu kinachopelekea watu kununua vya nje, na hii inapelekea bidhaa zetu kuzidi kuwa za lower quality na higher price which makes it even worse. Sasa ili kuvunja hii vicious cycle inabidi tuanza mahali, we need to start somewhere, kwanza kabisa tupende vya kwetu na kuvinunua ili kusupport wale wazaloshaji wa ndani, wakipewa hii support wataboresha ubora na economy of number itasaidia sasa kushusha gharama za uzalishaji na hapo ndio tutaanza kuexport nje maana quality itakuwa bora na bei itakuwa nafuu na tutaweza kushindana nje, sawa mzee.
 
Mkuu unakimbia argument yako wewe mwenyewe!

Umeanza kwa kulaumu Kenya na kuhimiza wasiruhusiwe kuingiza nchini,hapo hapo unakataa eti hujakataa wasiingize unasema "out of context"!

Mkuu,fanya kampeni watu wanunue bidhaa zao,usitumie ubora wa mwingine kwamba ndio sababu za wewe kua dhaifu!

Ndio mentality ya kulaumu other people hii!

Bidhaa zetu hizi hizi dhaifu tuuze hivyo hivyo huku tuna-improve sales zitaongezeka!

Mzee upo kwenye biashara?

Hii tabia ya ku-single out Kenya as if wao tu ndio wana-export to TZ ni myopic,maana I doubt China ndio biggest exporter to TZ,sasa huyo utamfanyaje?

Cha msingi mzee angalia trade balance yako huku una-improve bidhaa zako ili uuze zaidi sokoni..

Mkenya anakuletea maziwa,sisi tunauza matunda na mahindi Kenya,hapa ni give and take,wewe angalia tu trade balance yako!

Eti kuwafungia Wakenya ndio solution,nonsense!

Mahali pa kuanzia?Ndio wapi hapo?

Unawafungia wengine ili upate pa kuanzia?Kivipi kwa mfano?

Hii ni kuendelea kukumbatia mediocrity na low productivity!
 
viwanda vingi ni vya wawekezaji wengi sio watanzania.
Kwa hyo hata tununue vipi. Bado tutawanufaisha wao
 
Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili tu nikaacha kusoma, hebu soma heading na content ya uzi wangu halafu niambie wapi nimeitaja Kenya au wapi nimesema bidhaa toka nje zizuiwe?
 
Kiwanda haijalishi kinamilikiwa na nani, kikiwa Tz ni kwamba ataajiri watz, atalipa kodi nk, uchumi unachagizwa moja kwa moja kwani kunankua na multiplier effect kwenye sekta zote ikiwemo usafirishaji, kilimo, mawasiliano nk.
 
Kuacha kusoma hkufanyi nilichokiandika kua uongo au whatever you feel like it is!

Tuseme hivi,wewe na mimi tunashabikia mifumo miwili tofuti!

Wewe unashabikia Protectionism na mimi Utandawazi!

Wewe una sababu zako na mimi nina zangu!

Utandawazi umesababisha mataifa kuonea mataifa dhaifu,na hapo hapo ikaja kusaidia mataifa dhaifu kukua na kutishia mataifa makubwa!

China iliyoonewa na Marekani miaka yote imetumia utandawazi huo huo kukua na sasa inaivuka Marekani!

Sasa hivi tunaonewa na walioendelea,ila utandawazi huu huu utasaidia sisi kukua na kuwapita wao later.

Wewe hutaki,unataka kua DPRK,which is okay!

Ni fikra mbili tofauti,na zote zina valid points,bali ni maamuzi tu kuchukua tufate lipi!

Too bad wewe na mimi hatuna uwezo wa kufanya hayo maamuzi!

Hivyo tutatukanana sana humu ila hatuna effect yoyote kwenye actual decision making!

Na its too cute of you kukimbia hoja zako mwenyewe kwa kung'ang'ania eti mimi sijaelewa!

Ni rahisi sana mtoa mada kung'ang'ani hadhira yake haijamuelewa once anapobanwa na maswali,hicho ndicho kichaka chenu!

Its okay though!
 
bidhaa kama zipi unazotaka zinunulie za Tanzania

Ujinga unanunua vitu vya Tanzania,kiwanda kinamilkiwa na muhindi,si Bora ununue vya USA,faida inaweza kuja tena,Kama msaada
 
Kuacha kusoma hkufanyi nilichokiandika kua uongo au whatever you feel like it is!

Tuseme hivi,wewe na mimi tunashabikia mifumo miwili tofuti!

Wewe unashabikia Protectionism na mimi Utandawazi!

Wewe una sababu zako na mimi nina zangu!

Utandawazi umesababisha mataifa kuonea mataifa dhaifu,na hapo hapo ikaja kusaidia mataifa dhaifu kukua na kutishia mataifa makubwa!

China iliyoonewa na Marekani miaka yote imetumia utandawazi huo huo kukua na sasa inaivuka Marekani!

Sasa hivi tunaonewa na walioendelea,ila utandawazi huu huu utasaidia sisi kukua na kuwapita wao later.

Wewe hutaki,unataka kua DPRK,which is okay!

Ni fikra mbili tofauti,na zote zina valid points,bali ni maamuzi tu kuchukua tufate lipi!

Too bad wewe na mimi hatuna uwezo wa kufanya hayo maamuzi!

Hivyo tutatukanana sana humu ila hatuna effect yoyote kwenye actual decision making!

Na its too cute of you kukimbia hoja zako mwenyewe kwa kung'ang'ania eti mimi sijaelewa!

Ni rahisi sana mtoa mada kung'ang'ani hadhira yake haijamuelewa once anapobanwa na maswali,hicho ndicho kichaka chenu!

Its okay though!
Nimekwambia soma heading na content ya uzi wangu halafu onyesha ni wapi nimetaja Kenya au ni wapi nimesema bidhaa toka nje zizuiliwe, baada ya hapo ndio tuendelee, maana unataka tujadili ulicho assume nimesema wakati sijakisema.
 
bidhaa kama zipi unazotaka zinunulie za Tanzania
Mbona uzi uko wazi kabisa, nimesema kwenye uzi kwamba kina chozalishwa Tz kipewe kipaumbele na kama hiyo bidhaa haizalishwi Tz basi nunua ya nje, na hiyo ni katika kushikana mikono na kuwainua wazaloshaji wa ndani, mfano umeenda dukani ukakuta maziwa ya Azam 4,000/= na ya aina nyingine toka nje labda 4,500/= au 3,500/=, regardless, nunua ya Tz, na hii ndio namna ya kuwafanya wazalishaji wa ndani waongeze ubora na kushusha gharama kwa economy of numbers.
 
Back
Top Bottom