Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu Kaizer Chief na Al Ahl.
Turudi kwenye mada, hivi lile goli la Utopolo, ambalo Zawadi alipiga shuti, likabadilisha mwelekeo na kumpoteza golikipa bora wa Afrika na kujaa wavuni! inakuwaje wanasena kafunga Zawadi na si Kapombe kajifunga.
Katika hali ya kawaida ule Mpira ulikuwa ni mlenda kwa Manula.
Sasa hapo kafunga nani!