Hahaaaa. Na kweli usemalo itabidi tu japo najua kesho tutegemee maumivu kama yale yaliyopita. Usijali Ses pale pale pa jana ntakukuta. ππππBasi tusiwasuse tuwashangilie hivyohivyo maana ndio timu yetu tena hata kama wameshindwa kutimiza matarajio ya Wabongo wengi
Walijisemea wahenga "tikiti bovu lakini lipo shambani kwako". Unipitie hiyo kesho usiku eehπππ
Kesi alijikausha kama hajaliona teh
Mkuu naona jana mmejitahidi weee ila cha ajabu full time , ball possession sisi tuko juu. πππUbao umegoma kusoma mpaka sasa
Ilikundi mpaka mechi ya mwisho ndo itaeleweka nani kapita maana ata anayeongoza kundi kwa sasa anaweza kufungasha mabegi kama mechi ya mwisho atafungwa na benin.Mkuu naona jana mmejitahidi weee ila cha ajabu full time , ball possession sisi tuko juu. πππ
Na hapa ili mupite yawapasa mumfunge Guinea Bisau.
Na kundi ndio kama hilo hapo.
Na kweli usemalo Mkuu. Japo kipute cha Benin na Cameroon hakitakuwa cha mchezo. Ila tusubiri tuone.Ilikundi mpaka mechi ya mwisho ndo itaeleweka nani kapita maana ata anayeongoza kundi kwa sasa anaweza kufungasha mabegi kama mechi ya mwisho atafungwa na benin.
Nafahamu yameisha fungwa mengi ila mkuu lile alikuwa shoot la kawaida lilikuja na kasi ya yale mabomu yaliyotua pale iroshima.
Hahahaaaa!Kesi alijikausha kama hajaliona teh
NitakusubiriπππHahaaaa. Na kweli usemalo itabidi tu japo najua kesho tutegemee maumivu kama yale yaliyopita. Usijali Ses pale pale pa jana ntakukuta. ππππ
Kundi jeuri sana hili. Tuihamishie taifa stars hukuIlikundi mpaka mechi ya mwisho ndo itaeleweka nani kapita maana ata anayeongoza kundi kwa sasa anaweza kufungasha mabegi kama mechi ya mwisho atafungwa na benin.
Vipi mkuu wangu, nini mbaya?πππAcheni kutuzuga basi jamani.
Nitakusubiriπππ
Acheni kutuzuga basi jamani.
Vipi mkuu wangu, nini mbaya?πππ
Hahahaaa. Mmefanya nicheke. lol.Conversations zako na bidada shedeeya zinatuacha njia panda.
Tunamzungumzia Diatta, Taifa Stars na AFCON kwa ujumla πππConversations zako na bidada shedeeya zinatuacha njia panda.
Eti si si tunazongumza kuhusu goli alilotufunga Diatta wa Senegal.... πππHahahaaa. Mmefanya nicheke. lol.
Afrika hakuna wamaliziaji(finishers) siku hiziSawa bwana ila hii Afcon inaweza kuwa yakwanza kwa wachezaji kukosa magoli ya wazi.
Ilikundi mpaka mechi ya mwisho ndo itaeleweka nani kapita maana ata anayeongoza kundi kwa sasa anaweza kufungasha mabegi kama mechi ya mwisho atafungwa na benin.