Hivi lile goli la pili alilofunga Diatta dhidi ya Taifa stars lile shoot lilikuwa linatembea kwa speed ya Km ngapi kwa saa?

Basi tusiwasuse tuwashangilie hivyohivyo maana ndio timu yetu tena hata kama wameshindwa kutimiza matarajio ya Wabongo wengi

Walijisemea wahenga "tikiti bovu lakini lipo shambani kwako". Unipitie hiyo kesho usiku eeh๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hahaaaa. Na kweli usemalo itabidi tu japo najua kesho tutegemee maumivu kama yale yaliyopita. Usijali Ses pale pale pa jana ntakukuta. ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
 
Ubao umegoma kusoma mpaka sasa
Mkuu naona jana mmejitahidi weee ila cha ajabu full time , ball possession sisi tuko juu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Na hapa ili mupite yawapasa mumfunge Guinea Bisau.

20190630_102015.jpg

Na kundi ndio kama hilo hapo.
 
Mkuu naona jana mmejitahidi weee ila cha ajabu full time , ball possession sisi tuko juu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Na hapa ili mupite yawapasa mumfunge Guinea Bisau.

Na kundi ndio kama hilo hapo.
Ilikundi mpaka mechi ya mwisho ndo itaeleweka nani kapita maana ata anayeongoza kundi kwa sasa anaweza kufungasha mabegi kama mechi ya mwisho atafungwa na benin.
 
Na kweli usemalo Mkuu. Japo kipute cha Benin na Cameroon hakitakuwa cha mchezo. Ila tusubiri tuone.
 
Magoli kama hayo Said Ndemla na Habib Haji Kiombo huyafunga sana tu hapa EPL
Nafahamu yameisha fungwa mengi ila mkuu lile alikuwa shoot la kawaida lilikuja na kasi ya yale mabomu yaliyotua pale iroshima.
 
Ilikundi mpaka mechi ya mwisho ndo itaeleweka nani kapita maana ata anayeongoza kundi kwa sasa anaweza kufungasha mabegi kama mechi ya mwisho atafungwa na benin.
Kundi jeuri sana hili. Tuihamishie taifa stars huku
 
Sawa bwana ila hii Afcon inaweza kuwa yakwanza kwa wachezaji kukosa magoli ya wazi.
Afrika hakuna wamaliziaji(finishers) siku hizi

Wapo wachezaji wa vipaji vya kawaida tu,aina ya wamaliziaji kama kina Mo Salah ni wakuhesabu sana
 
Indomitable Lions washapita hao, by default hata akifungwa anapita kama best looser

Back
Top Bottom