Hivi lile goli la pili alilofunga Diatta dhidi ya Taifa stars lile shoot lilikuwa linatembea kwa speed ya Km ngapi kwa saa?

Kuhusu mechi ya jana Ses au?

Wamemaliza kazi ila Senegal anawasubiria na hawatatoka salama.
Ndio Shadeeya kuhusu mechi ya jana. Mimi nawaombea sana Kenya na Uganda angalau watutoe kimasomaso ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki maana Afrika ya Magharibi wanatuponda sana kua tupo nyuma kwenye kila kitu
Kwanza Senegal hawatishi kiviile basi tu walituotea na ushamba wetu na upangaji mbovu wa kikosi. Uliona walivyodhibitiwa na Algeria?

Kenya wakikaza wanaweza kuwatoa nishai Senegal
 
Kwa Uganda wanaweza kututoa kimasomaso japo kwa Kenya naona wana mlima mrefu sana wa kupanda mbele ya Senegal.

Yah! na kama jana Senegal walikuwa nyanya mbele ya Algeria na ndio sababu mpaka halftime hawa shot on target hata moja mpaka nikabaki na mshangao. Huenda Kenya nao wakajua kuwadhibiti japo siliamini sana hilo.
 
Mpira wakati mwingine hautabiriki ujue Shadeeya, lolote laweza kutokea kwenye mechi ya Kenya na Senegal maana kila mmoja atakua anapigana kufa na kupona tena kwenye mechi ya mwisho ili apate nafasi ya kusonga raundi 16 bora
 
Kwa Uganda wanaweza kututoa kimasomaso japo kwa Kenya naona wana mlima mrefu sana wa kupanda mbele ya Senegal.

Yah! na kama jana Senegal walikuwa nyanya mbele ya Algeria na ndio sababu mpaka halftime hawa shot on target hata moja mpaka nikabaki na mshangao. Huenda Kenya nao wakajua kuwadhibiti japo siliamini sana hilo.
Ila mechi kati ya wapendwa wangu Kenya na Senegal itakua ngumu sana kwa kua kila mmoja anahitaj pointi 3 aweze kupenya hatua hii.
 
Hahahaaa. Kwa Senegal mtaambulia kichapo tu hapo sababu jana mlipata mchekea.

Andikeni maumivu kuambulia kitu kwa Senegal. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Mie Alhamdulillah niko shwari kabisa. Hofu kwako?

Mie kwa sasa nipo Cameroon, Benin na kwa mbaali ntakuwa Misri. πŸ˜€
Hapo kwenye Cameroon tumekutana, mimi nilianza kuikibali hii timu tangia enzi za kina Roger Miller, Omam Biyiki, Victor Ndip Akem, Paul Luis Mufede, Thomas Nkono, Joseph Antonio Bell, Cyril Makanaki, Ekeke, Ebwele na wengineo

Ulikua bado mdogo sana wewe ShadeeyaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hatimaye kwa mara ya kwanza tupo timu moja. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

Na kweli hao hata siwajui mi nawajua kina Samwel Etoo, Pius Ndiefi nakumbuka aka kalikuwaga kafupi hivi , Erick Djembajemba na yule aliyekufaga uwanjani Mark Vivian Foe.
 
Basi siku Cameroon ikicheza usiende uwanjani pekeyako unipitie twende wote tukaishangilie timu yetu ShadeeyaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Hahahaa Ndifiiiii nakumbuka watu wafupi walikua wanaitwa Ndiefi. Haha wa kizazi cha kina Eric Njembanjemba, Patric Mboma, Alphonce Chami na wengineo ni kweli walikua wazuri lakini chama la muda wote likitandaza samba ya mchanganyiko wa kibrazil na kiafrika lilikua hilo la kina Roger Miller
 
Hahahaaa. Ni Uwanjani kweli Ses? 😜😜 Au ndio unasemea kibanda umiza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahahaa Ndifiiiii nakumbuka watu wafupi walikua wanaitwa Ndiefi. Haha wa kizazi cha kina Eric Njembanjemba, Patric Mboma, Alphonce Chami na wengineo ni kweli walikua wazuri lakini chama la muda wote likitandaza samba ya mchanganyiko wa kibrazil na kiafrika lilikua hilo la kina Roger Miller
Oooh. Sawa MUHENGA. πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Back
Top Bottom