Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Huu uzi ni batili bila Picha ya yule mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ni batili bila Picha ya yule mwamba
Huyu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Manula alifikiri tu akajisemea zake moyoni kama Kessy amelikwepa, ye ni nani sasa mpaka aamue kulifuata?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balaa tupu [emoji23][emoji23][emoji23]kessiy akaona isiwe tabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ban
Mpira ukijaa mguuni kawaida
Leta picha original iliyozoeleka.... Aaah aaah aahHuyu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Ngoja nikaisake Mkuu. ππππLeta picha original iliyozoeleka.... Aaah aaah aah
Heri nusu shari kuliko shari kamili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balaa tupu [emoji23][emoji23][emoji23]kessiy akaona isiwe tabu
Leta picha original iliyozoeleka.... Aaah aaah aah
Hizo hapo Mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe dogo mzuri tu asee,au ni hila zetu za kufungwa tukaanza mtengenezea image zetu?Huyu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani. Kenya kazi wanayo na si ndogo.Eeeewa..... Aaah aaaah aaaah kiboko ya manula....
Bora tushamlizana nae kazi wanayo kenya huko...
Mzuri tu Mkuu hizo hila zetu jumlisha akili za Insta basi utadhani watu wamejiumba.Kumbe dogo mzuri tu asee,au ni hila zetu za kufungwa tukaanza mtengenezea image zetu?
Aisee,nimekukubali mamiiHizo hapo Mkuu. ππππ
Tunawazungumzia wachezaji mpira, Bocco ni mbahatishaji tuMbona bocco hakuujaza mguuni kama ni kitu cha kawaida mkuu
Tena kufia uwanjani, kisa na mkasa.Cha kufia nini?
Huyu dogo mbona anaonekana kama beberu mweusi. Anyway tuwe makini na majirani zetu wasije wakamuingiza huyu dogo mana nao wameshakuwa mabeberu.Huyu hapa. πππ
Huyu mvulana watu wengi hasa waTZ hawana hamu naye. πππAisee,nimekukubali mamii