Hivi lile goli la pili alilofunga Diatta dhidi ya Taifa stars lile shoot lilikuwa linatembea kwa speed ya Km ngapi kwa saa?

Kashasha hajaliongelea kweli? Ngoja nikatembelee account yake.
Siwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.
 
Lile shoot aimed to kill our Goalkeeper
 
Shadeeya please uje huku best uone maajabu ya u20 Senegal
Hahahaaa. Best yule dogo wenu alijua kutubumbuazisha kwani tulijua lile goli moja tungemaliza nalo mpaka mwisho wa mchezo.

Japo nilichoka baada ya kuona huko mutandaoni walivyomuedit dogo wa watu. Nikasema watanzania si watu wazuri.
 
Back
Top Bottom