Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha
Jamaa mjanja sana yule
Jamaa mjanja sana yule
Kesi alijikausha kama hajaliona teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi alijikausha kama hajaliona teh
Amenikumbusha...Roberto Carlos...wa Brazil. Na Sunday Olise wa Nigeria.Kumbe ni kinda yule
Siwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.
Kessy alikwepa ile ngoma
Mkuu hiyo avatar hiyoAmunike piga kazi baba piga kazii...
Hahahahaaaa kabisaAtakuwa anashirikiana na mabeberu.
Mkuu hiyo avatar hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balaa tupu [emoji23][emoji23][emoji23]kessiy akaona isiwe tabuIle kitu kasi yake inakaribiana na Hurricane Katrina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu banMkuu leo mbona ujamkumbuka ndugu yako Yente.
Lile shoot aimed to kill our GoalkeeperSiwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.
Ndiyomaana Ndugai anasema wachezaji wanapepesuka kwa njaa uwanjaniKessy alikwepa ile ngoma
Hahahaaa. Best yule dogo wenu alijua kutubumbuazisha kwani tulijua lile goli moja tungemaliza nalo mpaka mwisho wa mchezo.Shadeeya please uje huku best uone maajabu ya u20 Senegal