music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni wao kusemwa vibaya wakati wa kampeni.
Lissu alisema wazi chaguzi za kanda na mikoa zilijaa rushwa na viongozi wa kanda na mikoa wamepatikana kwa rushwa.
Nimemsikia akisema hayo wakati wa kampeni na hata baada ya kampeni nimemskia interview yake na Salim Kikeke akirudia ilo suala.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Sijui muundo wao wa ufanyaji kazi ila naona kuna ugumu sana kwenye kufanya kazi pamoja au labda atatumia strategy gani sijui au atatumia makao makuu kwenye kila shughuli yani sioni mtu kama Wenje akimpa ushirikiano Lissu kwa awa watu awamuheshimu hata kidogo. Kazi ipo kwa kweli