Soma hiki kipande cha hotuba ya J k Nyerere ili twende sambamba kupata jibu sahihi kuhusu watoa rushwa nyakati za uchaguzi hukusudia kumtumikia nani...
Tunajua wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM ameshasambaza pikipiki, magari baiskeli nk zenye jina lake huku zikiwa na nembo ya CCM...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla,
"Tafadhalini sana, tusitumike vibaya, sisi viongozi ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) tunatakiwa kuwa waadilifu, ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi unakula kiapo"...
Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni wao kusemwa vibaya wakati wa kampeni.
Lissu alisema wazi chaguzi za kanda na mikoa zilijaa rushwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.