Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Soma hiki kipande cha hotuba ya J k Nyerere ili twende sambamba kupata jibu sahihi kuhusu watoa rushwa nyakati za uchaguzi hukusudia kumtumikia nani...
Tunajua wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM ameshasambaza pikipiki, magari baiskeli nk zenye jina lake huku zikiwa na nembo ya CCM akiusaka urais kwa kuhonga pesa...
Tusiseme eti SSH mgombea mtoa rushwa kaletwa na Mungu ilhali anatumia pesa kuhonga aupate urais...
Alionya kitambo huyo wanayemwita baba wa taifa ila hawapo tayari kushika maonyo yake..
“Serikali corrupt popote
Hazikusanyi kodi. Serikali
Corrupt inachumwa na wenye
Mali.Inawafanyia kazi wenye
Mali .Serikali corrupt
Haikusanyi kodi!.Itabaki
Kufukuzana na vitu vidogo
Vidogo barabarani.Mkiwa
Corrupt mtaabudu wenye
Mali.Mimi ni mkristu,sijui
Quran inasemaje lakini kwa
Maneno ya Yesu kristu huwezi
Kutumikia mabwana
Wawili. Moja fedha lingine Mungu utachagua katika hao wawili".
-JK Nyerere 1995