Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hizi timu huwa zinanichanganya ipo kubwa yenye pesa. Na makombe mengi Sasa hivi wakuu
Premier league mbona 20 Kwa 20Nyumbu kama kawa hao liver kuku wanatuzid uefa
Kamzidi kombe Gani LiverpoolMan united bingwa wa vikombe vingi
Liverpool ndo baba wa timu za EnglandHizi timu huwa zinanichanganya ipo kubwa yenye pesa. Na makombe mengi Sasa hivi wakuu
Champions League ,Liver 6 Mwanitesa 3Premier league mbona 20 Kwa 20
Kwahiyo Liverpool ndio yupo juu Kwa makombe 68 Kwa 66 maana hapo naona epl wamemuwekea 19 wakati mwaka huu kabeba ya 20
Chelsea total trophies ngapi?England ni Chelsea tu kachukua kila aina ya kombe la vilabu
Important trophiesChelsea total trophies ngapi?
Jibu swali anatrophies ngapi Chelsea si umesema ndio anaongoza Kwa makombe Kuna kombe Gani Liverpool na man u hawajalichukua Chelsea kabeba?Important trophies
Na hata EPL wanalingana sahivi 20 kwa kila timu. Sema sijajua kuhusu hivi vikombe vingine kama Calabao, FA, nkNyumbu kama kawa hao liver kuku wanatuzid uefa
Ooh okayNa hata EPL wanalingana sahivi 20 kwa kila timu. Sema sijajua kuhusu hivi vikombe vingine kama Calabao, FA, nk
Hili alilopigwa psg man na liver lin walibeba... ???Jibu swali anatrophies ngapi Chelsea si umesema ndio anaongoza Kwa makombe Kuna kombe Gani Liverpool na man u hawajalichukua Chelsea kabeba?
Kifedha United alikuwa vizuri zaidi kuliko Liverpool. Sijajua kwa miaka hii miwili. United alikuwa anatop kabisa na vilabu kama Madrid, Barcelona (japokuwa hawa nao sahivi wanapitia crisis), Bayern. Sijajua kwa PSG. Natafuta takwimu halisi kwa sasa.Nasubiri majibu
We itakua umekurupukia mpira ukubwani hujui kama Liverpool na man u wanayo makombe ya vilabu bingwa vya duniaHili alilopigwa psg man na liver lin walibeba... ???