Hivi Liverpool Manchester united na ipi timu kubwa yenye pesa na makombe mengi

Hivi Liverpool Manchester united na ipi timu kubwa yenye pesa na makombe mengi

Kifedha United alikuwa vizuri zaidi kuliko Liverpool. Sijajua kwa miaka hii miwili. United alikuwa anatop kabisa na vilabu kama Madrid, Barcelona (japokuwa hawa nao sahivi wanapitia crisis), Bayern. Sijajua kwa PSG. Natafuta takwimu halisi kwa sasa.
Yes man u alikua vizuri ila naona now kama kazidiwa kutokana na. Timu kukaa mda mrefu bila kufanya vizuri
 
Hili alilopigwa psg man na liver lin walibeba... ???
Man Utd na Liverpool washabeba hiyo. Club World Cup ilikuwepo tokea zamani, kilichobadilika ni mfumo tu wa mashindano yenyewe. Labda ile ya Conference
 
Attachments

  • Screenshot_20250723-184237.jpg
    Screenshot_20250723-184237.jpg
    220 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250723-184308.jpg
    Screenshot_20250723-184308.jpg
    211.3 KB · Views: 16
LiverKUKI ni majogoo kweli, sio wa kuchovya.
LIVERKUKU ndio mbabe zaidi na ataongeza gape sababu timu yake saa hizi inazidi kutengemaa wakati mashetani yanakosa mguvu
 
Swali rahis ila limekosewakosewa, Majibu yapo Google unachosha watu.
 
Liverpool ina premier league 20 na wao kwasasa so kwasasa Liverpool ni 68 na tutegemee Manchester United kuendelea kuburuzwa
Husisahau Liverpool alikaa miaka 30 bila EPL, na hapo ndo United alikuja kufix hilo gape. Yan wakati Ferguson anafika United alikuwa na mataji 7, wakati Liver akiwa na 18. Ila Utd akatoka nyuma mpaka 20. So, lolote linaweza kutokea na Utd akafufuka tena.
 
Ngumu kutawala kama enzi za Ferguson
 
Back
Top Bottom