Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Yes man u alikua vizuri ila naona now kama kazidiwa kutokana na. Timu kukaa mda mrefu bila kufanya vizuriKifedha United alikuwa vizuri zaidi kuliko Liverpool. Sijajua kwa miaka hii miwili. United alikuwa anatop kabisa na vilabu kama Madrid, Barcelona (japokuwa hawa nao sahivi wanapitia crisis), Bayern. Sijajua kwa PSG. Natafuta takwimu halisi kwa sasa.
We itakua umekurupukia mpira ukubwani hujui kama Liverpool na man u wanayo makombe ya vilanu bingwa vya h
Haha sawa dogo ....We itakua umekurupukia mpira ukubwani hujui kama Liverpool na man u wanayo makombe ya vilanu bingwa vya dunia
Man Utd na Liverpool washabeba hiyo. Club World Cup ilikuwepo tokea zamani, kilichobadilika ni mfumo tu wa mashindano yenyewe. Labda ile ya ConferenceHili alilopigwa psg man na liver lin walibeba... ???
Nimemshangaa sana huyo jamaaMan Utd na Liverpool washabeba hiyo. Club World Cup ilikuwepo tokea zamani, kilichobadilika ni mfumo tu wa mashindano yenyewe. Labda ile ya Conference
Haha sawa dogo ....
Liverpool ina premier league 20 na wao kwasasa so kwasasa Liverpool ni 68 na tutegemee Manchester United kuendelea kuburuzwa
Google Sasa hivi inasema Liverpool total trophies 69 man u ni 66Liverpool ina premier league 20 na wao kwasasa so kwasasa Liverpool ni 68 na tutegemee Manchester United kuendelea kuburuzwa
Duuh aiseeLiverKUKI ni majogoo kweli, sio wa kuchovya.
LIVERKUKU ndio mbabe zaidi na ataongeza gape sababu timu yake saa hizi inazidi kutengemaa wakati mashetani yanakosa mguvu
Husisahau Liverpool alikaa miaka 30 bila EPL, na hapo ndo United alikuja kufix hilo gape. Yan wakati Ferguson anafika United alikuwa na mataji 7, wakati Liver akiwa na 18. Ila Utd akatoka nyuma mpaka 20. So, lolote linaweza kutokea na Utd akafufuka tena.Liverpool ina premier league 20 na wao kwasasa so kwasasa Liverpool ni 68 na tutegemee Manchester United kuendelea kuburuzwa
Ngumu kutawala kama enzi za FergusonHusisahau Liverpool alikaa miaka 30 bila EPL, na hapo ndo United alikuja kufix hilo gape. Yan wakati Ferguson anafika United alikuwa na mataji 7, wakati Liver akiwa na 18. Ila Utd akatoka nyuma mpaka 20. So, lolote linaweza kutokea na Utd akafufuka tena.
interms of trophies England hakuna club ya kuizidi Liverpool.Man united bingwa wa vikombe vingi
Jumlisha premier league tittle 2024/2025
Mtoa mada kama umechagua upandeNgumu kutawala kama enzi za Ferguson
We unaiona man u ikitawala kama enzi za Ferguson Karne hiiMtoa mada kama umechagua upande