MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022.
Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili Christiano Ronaldo au Lionel Messi kwani mwaka huu mmepania kuchukua Ubingwa wa Afrika na ule wa Vilabu Bora duniani.