Hivi Logically tu inaingia Akili utoke Kucheza Uingereza tena Newcastle United uje Machafuko Mafurilo FC ya Tanzania?

Hivi Logically tu inaingia Akili utoke Kucheza Uingereza tena Newcastle United uje Machafuko Mafurilo FC ya Tanzania?

Tusubiri msimu mpya wa mashindano uanze, tuone ufundi kutoka Newcastle.
 
Kuna timu miezi michache iliyopita imefundishwa na kocha iliyemchukua toka RIALI MADIRIDI wewe unashangaa mchezaji?
Yanga kuna vilaza,nishakukumbuka wewe ndiye uliyesema Real Madrid ya Ufaransa. Aibu kubwa hii
 
Mliwezaje kumleta kocha mmadrada mpaka akawapa ubingwa wa afrika kisha mkamtimua
 
Achana na Bigirimana kaka,hata Rivaldo aliwahi kuchkuwa kumbe la dunia pia akachezea Klabu kubwa duniani including Barcelona aliwahi kuja Africa akacheza Angola,Hata Alex Song aliwahi kuwika na Arsenal na Barcelona sasa hivi yupo Djibouti Soo kaa kwa kutulia kama mtu kafika dau sahh analotaka mchezaji hata kama klabu ipo namfua au Loliondo ataenda tu
Song aliyecheza Premier League ndiye huyu wa sasa? Kaja Djibouti kwa vile mpira umekwisha , yaani jibu unalo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom