MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwani logically iliwezekana vipi kocha wa timu ya ulaya ligi kubwa aje afundishe Simba halafu baadaye mumtimue?Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo...
Hersi kawapiga uto na kitu kizitoKuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022.
Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili Christiano Ronaldo au Lionel Messi kwani mwaka huu mmepania kuchukua Ubingwa wa Afrika na ule wa Vilabu Bora duniani.
Kwa nini isiwezekane?..Alex Song katoka Arsenal & Barcelona sasa hivi anacheza Arta Solar ya Djibout..Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022.
Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili Christiano Ronaldo au Lionel Messi kwani mwaka huu mmepania kuchukua Ubingwa wa Afrika na ule wa Vilabu Bora duniani.
Mchezaji mwenye Akili timamu kamwe hafanyi hivyo.Kwa nini isiwezekane?..Alex Song katoka Arsenal & Barcelona sasa hivi anacheza Arta Solar ya Djibout..
Rivaldo kacheza Cabusport ya Angola...
Carlos Idris Kameni na Diafra Sakho wamecheza Ligi kubwa Ulaya sasa hivi wapo Arta Solar ya Djibout...
Kuna wachezaji wengi tu sasa hivu wanatoka Ligibkubwa wanaenda kucheza China, Qatar, Thailand, UAE na kwingineko....Inawezekana
Yanga imekuwa NSSF wanakuja kuchukua pensheni zaoMchezaji mwenye Akili timamu kamwe hafanyi hivyo.
Kwani pia iliwezekenaje kocha aliyefundisha madrid kwenda kifundisha kolowozard. Wao waendelee kuiba wachezaji kutoka timu zilizotoka kupanda daraja juzi. Hicho ndicho wanachokiweza kwa sasa.Kwa nini isiwezekane?..Alex Song katoka Arsenal & Barcelona sasa hivi anacheza Arta Solar ya Djibout..
Rivaldo kacheza Cabusport ya Angola...
Carlos Idris Kameni na Diafra Sakho wamecheza Ligi kubwa Ulaya sasa hivi wapo Arta Solar ya Djibout...
Kuna wachezaji wengi tu sasa hivu wanatoka Ligibkubwa wanaenda kucheza China, Qatar, Thailand, UAE na kwingineko....Inawezekana
Kuna timu miezi michache iliyopita imefundishwa na kocha iliyemchukua toka RIALI MADIRIDI wewe unashangaa mchezaji?Yanga imekuwa NSSF wanakuja kuchukua pensheni zao