Achana na Bigirimana kaka,hata Rivaldo aliwahi kuchkuwa kumbe la dunia pia akachezea Klabu kubwa duniani including Barcelona aliwahi kuja Africa akacheza Angola,Hata Alex Song aliwahi kuwika na Arsenal na Barcelona sasa hivi yupo Djibouti Soo kaa kwa kutulia kama mtu kafika dau sahh analotaka mchezaji hata kama klabu ipo namfua au Loliondo ataenda tu