Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu,nilikuwa nataka kujua kwanini wanasema chuo cha afya cha lugalo ni Cha serikali lakini ada yao ni kama chuo binafsi, je hii inatokana na nini maana vyuo vingine vyote vya afya ambavyo mi vya serikali ada yao ni sawa.
Nawasilisha
Nawasilisha