Hivi Lugalo ni chuo cha serikali au chuo cha jeshi?

Hivi Lugalo ni chuo cha serikali au chuo cha jeshi?

ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schools
Jaribu siku moja kutembelea kile chuo ukishatoka pale utafuta hayo mawazo...

Kile chuo kina facility zote na mazingira murua ya kusoma na walimu wa kutosha. Ukiwa pale una hamasika kusoma
 
Ndo maana ni Kama private tu

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Afu nikukumbushe Lugalo wanaendaga Cream tu pale mzee bila kijiti cha maana na ufaulu wa kushiba wa Physics,Chemistry na Bios hutii pua pale kwa direct entry hata kuhamia pia ni kisanga pale.
 
Back
Top Bottom