Aha maana mi nilichaguliwa hapo kozi ya C.O lakini nlishindwa kumudu Ada,hivyo Nina mpango wa kutafuta chuo kingine Cha serikali kwa mwaka huu
Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B. Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa...
Uongo hauna faida dogo