Mkuu ungeweka hizo Gharama ili tujue km ni kweli.Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu,nilikuwa nataka kujua kwanini wanasema chuo cha afya cha lugalo ni Cha serikali lakini ada yao ni kama chuo binafsi,je hii inatokana na nini maana vyuo vingine vyote vya afya ambavyo mi vya serikali ada yao ni sawa.NawasilishaView attachment 2142928
Na kinapendwa vibaya na elimu ya pale nzuri...ukiwa na Maksi za kubabaisha ngumu kupata nafasi pale kama ukiwa raia wa kawaida.Dah kweli ndio maana Wana ada kubwa Asante kwa kunijuza
Kibaha wapo poa pia..ila Ukisoma Lugalo kupata GPA ya 4 ni jambo la kawaida matokeo yao ya mwaka jana Diploma C.O wa mwisho alikua na GPA ya 4.3Vipi kuhusu chuo cha kibaha kwenye utoaji wa elimu Bora na hili cha lugalo
Jeshi ni Jeshi MURAAJeshi ni jeshi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Jeshi ni Jeshi MURAA
Kwa muonekano hakuna chuo cha serikali kinachofikia kwa ubora wa majengo...mengine sina jibu ila ni chuo kizuri mno.Kwa hiyo mkuu ni kusema kwamba lugalo ndio chuo bora zaidi Tanzania kwa upande wa diploma ya kozi za afya hasahasa C.O
Aha maana mi nilichaguliwa hapo kozi ya C.O lakini nlishindwa kumudu Ada,hivyo Nina mpango wa kutafuta chuo kingine Cha serikali kwa mwaka huuKwa muonekano hakuna chuo cha serikali kinachofikia kwa ubora wa majengo...mengine sina jibu ila ni chuo kizuri mno.