Aha maana mi nilichaguliwa hapo kozi ya C.O lakini nlishindwa kumudu Ada,hivyo Nina mpango wa kutafuta chuo kingine Cha serikali kwa mwaka huu
Hapana sio uongo na ndo Mana nikauliza kuwa lugalo ni serikali au private maana Wana Ada kubwa ndo mana nilipata nafasiKwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B. Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa...www.jamiiforums.com
Uongo hauna faida dogo
Ok...omba Vingine hapo kama huna pesa paogope[emoji16] mimi nilishindwa pia nilipata chance ya kuhamia ila nilipopewa join hapo hapo nikarudi nilipotoka nyege zote zilikata ilikua 2019Hapana sio uongo na ndo Mana nikauliza kuwa lugalo ni serikali au private maana Wana Ada kubwa ndo mana nilipata nafasi
Nilitaka tu kusomea DSM na ule utoto wa Kua nimesoma Lugalo.Mkuu ulikuwa umetoka chuo gani na kwa nini ulitaka kuhama[emoji16][emoji16][emoji16]
Kw hyo Kule uliporudi ulimaliza kbs kozi ya C.ONilitaka tu kusomea DSM na ule utoto wa Kua nimesoma Lugalo.
Yeah kwa sababu transfer haikua imekamilika nicancel fasta.Kw hyo Kule uliporudi ulimaliza kbs kozi ya C.O
Vp mkuu ajira zake zipo vp kwa Sasa na wew umebahatika kuajiriwa ,au unamaoni gani kuhusu kuisoma hii kozi mkuuYeah kwa sababu transfer haikua imekamilika nicancel fasta.
Nipo Vijiwe binafsi bado sijapata GVT ...ushauri kwa herufi kubwa "C.O KWA SASA HAKUNA SHAVU"Vp mkuu ajira zake zipo vp kwa Sasa na wew umebahatika kuajiriwa ,au unamaoni gani kuhusu kuisoma hii kozi mkuu
Sawa mkuu japo serikali inaanzisha zahanati kiba vijijini cjui wanataka waganga wa kienyeji ndo wahudumie[emoji16][emoji16]Nipo Vijiwe binafsi bado sijapata GVT ...ushauri kwa herufi kubwa "C.O KWA SASA HAKUNA SHAVU"
Ada zao mbona naona wamepunguza mwaka huu??Huo ndo ukweli mkuu ada pamoja na michango kwa mwaka ni 2.6m lakini hapo kula unajitegemea
Hakuna hiyo ada ni tution fee ukichanganya na michango inafika 2.6M+Hivi hapo lugalo mnakuwa mnaamshwa asubuhi kwenda mchakamchaka??Mkifeli mtihani mnaambiwa mkunje ngumi au??
Kuna maisha ya 'chuo' kweli hapo?
Ada zao mbona naona wamepunguza mwaka huu??
Umemjibu vzr kabsa ,Ada ni Kama private tuHakuna hiyo ada ni tution fee ukichanganya na michango inafika 2.6M+
Sasa hiyo si ni first year tu...miaka inayoendelea michango inapunguaHakuna hiyo ada ni tution fee ukichanganya na michango inafika 2.6M+
Kidogo sana Lugali kichomi kwa asiye na pesa.Sasa hiyo si ni first year tu...miaka inayoendelea michango inapungua
ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schoolsKidogo sana Lugali kichomi kwa asiye na pesa.
Haha!ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schools