D DALT Senior Member Joined Jul 17, 2021 Posts 168 Reaction score 74 Jul 19, 2022 Thread starter #41 Afrocentric view said: ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schools Click to expand... Ndo maana ni Kama private tu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Afrocentric view said: ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schools Click to expand... Ndo maana ni Kama private tu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 7,683 Reaction score 15,128 Jul 19, 2022 #42 Afrocentric view said: ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schools Click to expand... Jaribu siku moja kutembelea kile chuo ukishatoka pale utafuta hayo mawazo... Kile chuo kina facility zote na mazingira murua ya kusoma na walimu wa kutosha. Ukiwa pale una hamasika kusoma
Afrocentric view said: ila ni kwanini wanafaulisha sana??Aundio zile za serikali kupendelea vyakwake kama special schools Click to expand... Jaribu siku moja kutembelea kile chuo ukishatoka pale utafuta hayo mawazo... Kile chuo kina facility zote na mazingira murua ya kusoma na walimu wa kutosha. Ukiwa pale una hamasika kusoma
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 7,683 Reaction score 15,128 Jul 19, 2022 #43 DALT said: Ndo maana ni Kama private tu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app Click to expand... Afu nikukumbushe Lugalo wanaendaga Cream tu pale mzee bila kijiti cha maana na ufaulu wa kushiba wa Physics,Chemistry na Bios hutii pua pale kwa direct entry hata kuhamia pia ni kisanga pale.
DALT said: Ndo maana ni Kama private tu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app Click to expand... Afu nikukumbushe Lugalo wanaendaga Cream tu pale mzee bila kijiti cha maana na ufaulu wa kushiba wa Physics,Chemistry na Bios hutii pua pale kwa direct entry hata kuhamia pia ni kisanga pale.