Tengeneza Njia
Senior Member
- Jul 29, 2022
- 121
- 205
Na wiki za huduma kwa watejaMwisho wa mwezi yote hufanya kazi.
Hii imekuwa ni kero ya uda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha watendaji wake kusaidia wateja.
Unaenda benKi unatumia masaa matano.
Hebu hili liangaliwe.
Lengo kuhudumia kwa haraka.Ila tatizo huja ktk madirisha5 unakuta moja au mawili yanahudumia inakera!.Halafu ni kama wanaigana huu utaratibu...
wana - Incourage matumizi ya mawakala wao maana huko wanatupiga zaidiHii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja.
Unaenda benki unatumia masaa matano.
Hebu hili liangaliwe.
Kuweka hela kwa wakala ni bure, kuhamisha hela hata kwa simu hata kutoka benk nyingine kwenda nyingine inawezekana.wana - Incourage matumizi ya mawakala wao maana huko wanatupiga zaidi
Hahahaha..Mzee embu tueleze wew SAS HV mapema HV umepata wapi pesa za kupeleka kwa bank ,tukisema kuwa Jana Kuna mtu kapigwa kabali utabisha Kama uhusiki
Mimi kadi yangu iliisha muda wake lakini hata sijajisumbua kwenda kuchukua nyingine..kuweka hela kwa wakala ni bure, kuhamisha hela hata kwa simu hata kutoka benk nyingine kwenda nyingine inawezekana
mitandao mliyo nayo mnatumia tu kuchat au
twende ki dijtali wadau, kuna internet banking, unafanya kila kitu kiganjani mwako
Kabisa mkuu. yaani mtu kukaa hapa analalamikia madirisha sijui yamefanya nini , ni u primitive wa hali ya juuMimi kadi yangu iliisha muda wake lakini hata sijajisumbua kwenda kuchukua nyingine...