Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

Kuweka hela kwa wakala ni bure, kuhamisha hela hata kwa simu hata kutoka benk nyingine kwenda nyingine inawezekana.

Mitandao mliyo nayo mnatumia tu kuchat au

Twende ki dijtali wadau, kuna internet ba

Kuweka hela kwa wakala ni bure, kuhamisha hela hata kwa simu hata kutoka benk nyingine kwenda nyingine inawezekana.

Mitandao mliyo nayo mnatumia tu kuchat au

Twende ki dijtali wadau, kuna internet banking, unafanya kila kitu kiganjani mwako.
Taasisi zinazotaka malipo lazima ufanye benki kwa ulazima na upeleke risiti ile ya benki unasemaje?
 
Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja.

Unaenda benki unatumia masaa matano.

Hebu hili liangaliwe.
Ulipo tupo
 
Mtoa mada ni kweli hili lipo, lakini msingi wake ni kwamba kipindi cha nyuma kila kitu kilikuwa lazima kilipiwe bank ndani, maji, umeme na malipo yote that's why kukawa na teller cubic nyingi wakiamini watakuwepo watu wa kukaa na kuhudumia, nowadays mambo yamebadilika sana, number of staffs imepungua kwa sababu kuna other channels kama sim banking, Internet banking na wakala so hakuna ulazima wa kuingia ndani tena unless uwe na uhitaji haswa wa kuingia
Tchaoooo
 
Kuna mji nilienda ile siku ya mapinduzi day,nilipaswa kufanya malipo ya sh. 8mln aisee nilizinguka mji wote mawkala hawana salio,badae nikaambiwa kuna wakala 1 tu mwenye salio la uhakika lakini amesafiri biashara kafunga!nilichoka
 
Kuweka hela kwa wakala ni bure, kuhamisha hela hata kwa simu hata kutoka benk nyingine kwenda nyingine inawezekana.

Mitandao mliyo nayo mnatumia tu kuchat au

Twende ki dijtali wadau, kuna internet banking, unafanya kila kitu kiganjani mwako.
Nilifanya transaction crdb to crdb via simbanking tsh 5,000,000 bila makato yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja.

Unaenda benki unatumia masaa matano.

Hebu hili liangaliwe.
😀😀😀 Unakuta clerk 1-9 alafu 2 tundio wanahudumia foleni bank
 
Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja.

Unaenda benki unatumia masaa matano.

Hebu hili liangaliwe.
Running cost ni kubwa, benki zinabana matumizi.
 
Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja.

Unaenda benki unatumia masaa matano.

Hebu hili liangaliwe.
Nadhani pia unazungumzia benki za Tanzania .
 
Back
Top Bottom