Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off

Hizo ndiyo zilikuwa siku Latra na polisi ilikuwa wajikite sasa kuona bei za nauli zinabakia kuwa elekezi zaidi.
 
Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
Mabasi hayana sikukuu, kajaribu kama utapata ticket kwani kwa mikoa iliyo hot, mengi yamejaa hadi januari.
Ufanyaji kazi wa Mabasi ni sawa na Hoteli, wengine wakisheherekea, Hotel ndio zinajaza. Mkimaliza kusheherekea wao ndio huchukua mapumziko; lakini ukumbuke kuwa sio wote wanasherehekea Christmas!
 
Back
Top Bottom