Hivi madaktari wasasa mbona mnageukana?

Hivi madaktari wasasa mbona mnageukana?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Jf wasaalam 🙏

Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu.

Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia
Account zao kutupa elimu za namna Gani ya kuishi huku tukitunza afya zetu.

Ni jambo jema na tunawapongeza sana Kwa kutumia kurasa Zenu kutupa elimu hizi Bure kabisa.

Changamoto Zenu nyingi mlizo nazo Kila nikiwasikiliza Kila mmoja ana lake!

Mimi mama yangu mzazi ni mgonjwa wa kisukari. Tumepata ushauri kutoka Kwa madaktari mbalimbali.

Shida kubwa ni kutokuwa wakweli na wamoja kwenye issues mhimu kama ugonjwa wa mtu.

Hata kwenye mitandao mnachanganya sana tunashindwa tuchukue lipi na lipi tuache.

MIFANO KADHAA

Nilienda na mama Kwa Doctor aliyejiita anatibu kisukari kumuona tu 30k

Baada ya vipimo vyote hatimae dawa akaanza kutupa ushauri namna Gani mama Aishi Ili apone kabisa.

Kwanza Alisema mama sukari asitumie kabisa ila atumie asali kama mbadala sukari. Akasema hata samaki nyama asitumie kabisa kama samaki atumie sato tu.

Nyama ya kuku asijaribu kabisa.

Mwingine yeye Alisema samaki ale tu Haina shida kabisa!!

Akasema matunda kama nanasi atumie pia akatushauri atumie bamia mara Kwa mara pamoja na vitunguu swaumu, tangawizi, kitunguu maji nk

Mwingine tukaenda yeye alisema asile kitu chochote kile kitamu ama asali hatakiwi.

Alitushauri ale ugali wa mtama ama Dona kama amekoswa ugali wa mtama.

Huko mtandaon Sasa ndo Kuna Fujo za Kila aina Hawa watakuja ua watu sio Bure.

Dr wa mtandaon anakwambia mpe tikiti anasema Cha kuepuka ni sukari na soda Bia na vitu vya viwandani tu lkn vya asili atumie tu.Alisisitiza tuwe tuna mtengenezea juice za matunda.

Hadi Sasa nipo njia panda sielewi kipi ni sawa kipi sio sawa.

Maana Kuna mwingine ali tuambia asile kabisa kitu ama tunda lenye asili ya sukari (tamu) asijaribu!.

Mfano huyo Dr kwenye picha yeye kakataza karibia Kila kitu kinacholiwa na mtanzania hapa na anajua wazi kabisa hivyo vyakula havikwepeki hapa nchini na Africa Kwa ujumla!

Anajua wazi kabisa tangu enzi na enzi ugali viazi ni vyakula vya asili na ndivyo walivyokula wazee wetu Wala hawakuugua haya magonjwa ya Leo

Tukisema ma Dr wa Leo mnazingua mnatuona Elimu Zenu na taaluma Zenu tuna zi dharau kumbe ni ninyi kutokuwa wamoja na wakweli.

Ma Dr wetu hapa jf naomba michango yenu ya kitabibu.

Kama wewe huna mchango na hujui kitu ni Bora ukasoma na kupita kimya kimya kuliko kupotosha. Ahsantee

Soma na sikiliza clip hiyo. Ahsantee
 
Attachments

  • IMG-20240724-WA0006(1)_1.jpg
    IMG-20240724-WA0006(1)_1.jpg
    146.6 KB · Views: 6
  • aff2f6f4c21ed05a1c4fdb6ad0012947.mp4
    7.1 MB
Jf wasaalam [emoji120]

Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu.

Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia
Account zao kutupa elimu za na namna Gani ya kuishi huku tukitunza afya zetu.

Ni jambo jema na tunawapongeza sana Kwa kutumia kurasa Zenu kutuma elimu hizi Bure kabisa.

Changamoto Zenu nyingi mlizo nazo Kila nikiwasikiliza Kila mmoja ana lake!

Mimi mama yangu mzazi ni mgonjwa wa kisukari. Tumepata ushauri kutoka Kwa madaktari mbalimbali.

Shida kubwa ni kutokuwa wakweli na wamoja kwenye issues mhimu kama ugonjwa wa mtu.

Hata kwenye mitandao mnachanganya sana tunashindwa tuchukue lipi na lipi tuache.

MIFANO KADHAA

Nilienda na mama Kwa Doctor aliyejiita anatibu kisukari kumuona tu 30k

Baada ya vipimo vyote hatimae dawa na ushauri akaanza kutupa.

Kwanza Alisema mama sukari asitumie kabisa ila atumie asali kama mbadala sukari.

Akasema matunda kama nanasi atumie pia akatushauri atumie bamia mara Kwa mara pamoja na vitunguu swaumu, tangawizi, kitunguu maji nk

Mwingine tukaenda yeye alisema asile kitu chochote kile kitamu ama asali hatakiwi.

Alitushauri ale ugali wa mtama ama Dona kama amekoswa ugali wa mtama.

Huko mtandaon Sasa ndo Kuna Fujo za Kila aina Hawa watakuwa watu sio Bure.

Dr wa mtandaon anakwambia mpe tikiti yaani anakwambia Cha kuepuka ni sukari na soda Bia na vitu vya viwandani tu lkn vya asili atumie tu.Alisisitiza tuwe tuna mtengenezea juice za matunda.

Hadi Sasa nipo njia panda sielewi kipi ni sawa kipi sio sawa.

Maana Kuna mwingine ali tuambia asile kabisa kitu ama tunda lenye asili ya sukari (tamu) asijaribu!.

Mfano huyo Dr kwenye picha yeye kakataza karibia Kila kitu kinacholiwa na mtanzania hapa na anawajua wazi kabisa hivyo vyakula havikwepeki hapa nchini na Africa Kwa ujumla!

Anajua wazi kabisa tangu enzi na enzi ugali viazi ni vyakula vya asili na ndivyo walivyokula wazee wetu Wala hawakuugua haya magonjwa ya Leo

Tukisema ma Dr wa Leo mnazingua mnatuona Elimu Zenu na taaluma Zenu tuna zi dharau kumbe ni ninyi kutokuwa wamoja na wakweli.

Soma na sikiliza clip hiyo. Ahsantee
za kuambiwa changanya na za kwako,..... kwani wewe ukuenda shule? hujui ingredients ziliomo kwenye matunda? Sukali ni sukali iwe ya asili au ya kiwandani madhara ni yale yale.
 
za kuambiwa changanya na za kwako,..... kwani wewe ukuenda shule? hujui ingredients ziliomo kwenye matunda? Sukali ni sukali iwe ya asili au ya kiwandani madhara ni yale yale.
Mkuu sio lazima niwe na kuelewa kama wako. Hapa nahitaji ma Doctor wenye werevu.

Heri nikapata majibu ya watu3 tu yenye kujenga na kusaidia kuliko hiki ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom