Hivi madereva huwa hamtuoni kwenye zebra tukisubiri kuvuka?

Hivi madereva huwa hamtuoni kwenye zebra tukisubiri kuvuka?

Tunasubiri muwe wengi ndo tusimame, sio kila mmoja anavuka kivyake na kuleta unnecessary foleni mfano pale ubungo ukitokea mabibo hasa trafiki wakiwepo
 
Mnatudharau sana sisi watembea kwa miguu

Ova
 
Back
Top Bottom