Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

Na lori kama hilo pichani ?
Lori linaingizwa na mashine kabla ya kiliingiza linawekwa free na upande wa kioo cha dereva unashushwa kioo kisha linasogezwa taratibu hadi kwenye kipimo walichoweka halafu anapita mtu kwenda kutegua ile free na kupandisha kioo, kulock milango na kuweka mitego ya kubalance tairi za gari lisisogee baada ya hapo mchezo umekwisha tajiri anasubiria mzigo wake bandarini kwa mdaa aliopangiwa...
 
Back
Top Bottom