Mkuu raisi ni mwanasiasa, anaweza toa tamko la kisiasa hivyo ni lazima akishatamka arasimishe kwa kutoa maagizo rasmi kwa watendaji nje ya jukwaa.....Ukimaanisha barua bado mimi najua kauli ya mkuu nchi tayali ni agizo rasmi
Maneno yako yanachoma kama pasi daah aya ngoja niende clinic ya presha leo ndio tarehe yanguMkuu raisi ni mwanasiasa, anaweza toa tamko la kisiasa hivyo ni lazima akishatamka arasimishe kwa kutoa maagizo rasmi kwa watendaji nje ya jukwaa.....
Achana na mawazo ya hizo pesa zikija sawa ila usizifikirie. Watendaji hawana maagizo rasmi zaidi ya kauli ya jukwaani.
Wapo ambao walishapuuza hilo tukio na wanacheka wakilikumbuka na hata wakiambiwa warudi kazini leo hawatataka sababu walikubaliana na hali wakapambana na sasa wana kipato cha maana.Maneno yako yanachoma kama pasi daah aya ngoja niende clinic ya presha leo ndio tarehe yangu
Mkuu hii issue iliibuka juzi juzi kwenye mitandao na ikatolewa ufafanuzi na serikali kuwa:Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk hizo hela tutazikosa au hazipo tena tuendelee na maisha yetu ya kuungaunga
Umenikumbusha issue very genuine!Mkuu raisi ni mwanasiasa, anaweza toa tamko la kisiasa hivyo ni lazima akishatamka arasimishe kwa kutoa maagizo rasmi kwa watendaji nje ya jukwaa.....
Achana na mawazo ya hizo pesa zikija sawa ila usizifikirie. Watendaji hawana maagizo rasmi zaidi ya kauli ya jukwaani.
Hahaha....Umenikumbusha issue very genuine!
Kuna sehemu moja, Shirika la umma.
Alitembelea Bosi kubwa mmoja. Akakuta Wateja kadhaa sehemu ya kazi wamekaa juani wakisubiri Huduma. Bosi kubwa akafoka kwelikweli!! Mbele ya Wateja: "Hey! Manager, yaani wewe huna huruma hata kidogo kwa wateja wetu ambao ndio wanaotuletea mapato? Haya, nataka pajegwe nyumba yao ya mpumziko haraka iwezekanavyo!"
Manager kwa kimbelembele mbio kwa wazabuni na kujenga nyumba chapchap akitumia fedha za fuel & lubricants!
Wakaguzi walipoenda mambo yalikuwa kama hivi:
Wakaguzi: "Daa tunaona kuna jengo zuri sana hapa, ni la nini?"
Manager: (Kwa kujitutumua) "Mapumnziko kwa Wateja wakisubiri Huduma".
Wakaguzi: " Aaaa. Sasa ulipata wapi fedha kwa ajili ya ujenzi huu?"
Manager: "Kwa kuwa Bosi kubwa alisema linahitajika haraka sana libidi tutumie fedha za fuel & lubricants"
Wakaguzi:"Hee!!"(mkagizi mmoja anachukua simu na kuanza kubofyabofya)...Eee! Bosi kubwa, wakaguzi hapa. Eti uliruhusu pesa ya fuel & lubricants itumike kujengea nyumba ya kupumzikia Wateja?"
Bosi kubwa: "Nani, Mimi?
Mkaguzi:" Ndiyo wewe!"
Bosi kubwa: "Nani kasema?"
Mkaguzi:"Manager wako"
Bosi kubwa: "Hana akili huyo,kwani hajui financial regulations? Tafadhali naomba nisisumbuliwe na mambo ya kipuuzi"
Mkuu endelea na maisha mengine tu. In fact umesamehewa, ilibidi hata mshahara udaiwe kurudisha/ufilisiwe.Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk hizo hela tutazikosa au hazipo tena tuendelee na maisha yetu ya kuungaunga
Unatakiwa kwenda ofisini kwako na uanze process ya kulipwa. Ni pamoja na kumwona HR wako ujaze fomu ya kustaafu nadhani kwa lazima yeye atakuelekeza, utaambatanisha na barua ya kuachishwa kazi na atazipeleka PSSSF na wewe ni kusubiri tu michuzi. Ikiwa tayari utaona akaunti imetuna tu.Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk hizo hela tutazikosa au hazipo tena tuendelee na maisha yetu ya kuungaunga
Acha kudanganya wenzio...endeleeni kupambana na shughuli za uzalishaji mkuu ujiletee maendeleoUnatakiwa kwenda ofisini kwako na uanze process ya kulipwa. Ni pamoja na kumwona HR wako ujaze fomu ya kustaafu nadhani kwa lazima yeye atakuelekeza, utaambatanisha na barua ya kuachishwa kazi na atazipeleka PSSSF na wewe ni kusubiri tu michuzi. Ikiwa tayari utaona akaunti imetuna tu.