fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hapana hakusema hivyo watalipwa wasiofoji ambao ni std 7Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk hizo hela tutazikosa au hazipo tena tuendelee na maisha yetu ya kuungaunga
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app