Hivi mafunzo ya uwalim awamu ya pili bado majina ?

Hivi mafunzo ya uwalim awamu ya pili bado majina ?

ajira ngumu

Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
64
Reaction score
4
Jamani naomben kuuliza majina ya watu walioomba mafunzo ya ualim awam ya pili mwez 12 ambapo walidai wangetoa majina mwanzon mwa january naona kimya mwenye taarifa plz!!
 
achana nao mkuu hali ngumu ktk vyuo hv vilivychkuliwa na nacte...maharage 24/7,kazi ngumu kama watumwa,chai bila kitafunwa,ada laki6,ukiuliza unaambiwa serikali imejitoa ktk uendeshaji wa hivi vyuo hvy hyo laki 6 ya ada ndy inayokulisha mwaka mzima
 
walimu ni vilaza,huku kutiwa makofi na mkufunzi ni jambo la kawaida,wali ni anasa toka tufike nyama tunaickia kwenye bomba
 
wanafanya ivyo maana wanajua ajira kwa sasa za ualimu akuna waliomaliza mwaka jana ata tetesi tu za ajira zinatoka lini
 
Akili za walimu ni ndogo ktk kufikiri hata wanaotamani kwenda kule ni walewale
 
Back
Top Bottom