ajira ngumu
Member
- Dec 21, 2014
- 64
- 4
Jamani naomben kuuliza majina ya watu walioomba mafunzo ya ualim awam ya pili mwez 12 ambapo walidai wangetoa majina mwanzon mwa january naona kimya mwenye taarifa plz!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomben kuuliza majina ya watu walioomba mafunzo ya ualim awam ya pili mwez 12 ambapo walidai wangetoa majina mwanzon mwa january naona kimya mwenye taarifa plz!!
walimu ni vilaza,huku kutiwa makofi na mkufunzi ni jambo la kawaida,wali ni anasa toka tufike nyama tunaickia kwenye bomba
chuo gani hicho?