Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Kwa nini unalinganishaTunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa
Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....
Turudi kwenye habari
KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
#HabarileoUPDATES
Atakuwa huyo Mkurugenzi supporte wa chadema ndiyo maana kamfunga. Mbona wa CAG wanapeta?Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa
Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....
Turudi kwenye habari
KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
#HabarileoUPDATES
Ukiona hivyo mafahali wawili hawakai kwenye nyumba mojaTunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa
Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....
Turudi kwenye habari
KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
#HabarileoUPDATES
Ni ramli nzuri, lakini kafungwa, Magufuli aliwahi kumfunga yupi? Ndio hoja ya Uzi wanguKaiba milion mia nne atakata rufaa mahakama kuu atatumia kama milion 20 hiv then ataonga milion 80 alafu ataachiwa huru na net kama milion mia tatu baadaye atateuliwa tena kama ilivyo kwa yule jamaa alihukumiwa kma huyu then akatoboa mahakama kuu saiv anaenjoi teuz tu na huyu atakua na milion 300 kibindon na teuz juu.
Karibu Tanzania, hakika mama anaweza na anafaa kwa mitano tena. Lucas Mwashambwa
Saidia fundi.
Yupi na yupiUkiona hivyo mafahali wawili hawakai kwenye nyumba moja
Mwenye nguvu siku zote ndio utawala.
kiongozi hebu tulia hebu tulia uandike vizuri. maana sijaelesijaelewa unaadika nini.Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa
Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....
Turudi kwenye habari
KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
#HabarileoUPDATES
magufuri ana mahakamaNi ramli nzuri, lakini kafungwa, Magufuli aliwahi kumfunga yupi? Ndii hoja ya Uzi wangu
Magufuli sio mahakama. Mahakama ni mhimili unaojitegemea.Ni ramli nzuri, lakini kafungwa, Magufuli aliwahi kumfunga yupi? Ndio hoja ya Uzi wangu
Kuna watu wana nostalgia na utawala wa Magufuli, wakimshangilia Polepole, kuwa ulikuwa utawala uliojali demokrasia, haki za watu, na kupambana na kufunga mafisadiKwa nini unalinganisha
Hukusoma nabumekurupuka kujibu kwa kuangalia titlemagufuri ana mahakama
mahakama ni muhimili mwingine na serikali ni mwingine
kuna sehemu kwenye iyo hukumu umeona wamesema samia kaamuru ama katoa maelekezo afungwe huyo jamaa
Anatakiwa afungwe sababu kuiba ni kosa hata kama akirudisha....Fidadi anarudisha tu alichoiba na riba inatosha
Jela wanapelekwa wanaohitaji kufundishwa tabia njema siyo kila mtu