Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

i dont get it, kwa nini serikali ya Samia vs serikali ya Magufuli tu na siyo Samia vs serikali ya Kikwete, Mkapa au hata Mwinyi? ...
Kuna Wapinzani wameamua iwe hivyo, hawa ndio nawajibu

Wanapush narrative kuwa sasa hivi ndio ufisadi umerudi, kipindi cha Magufuli mafisadi walifungwa, nataka kujibizana nao, hoja kwa hoja
 
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa,

Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au kutofungwa.

Rais pia anaweza kuagiza kitu fulani kipelelezwe ama kiachwe

Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....

Turudi kwenye habari

KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.

Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.

#HabarileoUPDATES
Bubu ataka kusema, pale mambo yanapomzidia....

Mkuu, bado hamjasema
 
Samia kumbe anafunga watu? Kumbe kweli mahakama haiko huru
 
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa

Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....

Turudi kwenye habari

KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.

Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni

Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa,

Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au kutofungwa.

Rais pia anaweza kuagiza kitu fulani kipelelezwe ama kiachwe

Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....

Turudi kwenye habari

KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.

Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.

#HabarileoUPDATES
JPM?...
 
Sina uhakika kama zile tumbua zilikuwa zinaendama na vifungo. Sana sana ni wafanyabiashara ndio waliwekwa ndani na wengi wakitoka kwa malipo au baada ya kifo chake. Kuna wa tra walifunguliwa mashtaka, yaliishia wapi, sikumbuki.
 
Akina Kitilya hawakutiwa hatiani, waliambiwa watoe hela waachiwe
 
Kaiba milion mia nne atakata rufaa mahakama kuu atatumia kama milion 20 hiv then ataonga milion 80 alafu ataachiwa huru na net kama milion mia tatu baadaye atateuliwa tena kama ilivyo kwa yule jamaa alihukumiwa kma huyu then akatoboa mahakama kuu saiv anaenjoi teuz tu na huyu atakua na milion 300 kibindon na teuz juu.

Karibu Tanzania, hakika mama anaweza na anafaa kwa mitano tena. Lucas Mwashambwa

Saidia fundi.
Ukishahukumiwa kwa makosa ya utakatishaji Fedha inataifishwa, hata kama umekata rufaa pesa huwa chini ya mahakama.
Labda atumie chanzo kingine cha pesa kuhonga.
Na hilo lingekuwa jepesi kiasi hicho, angehonga ili asihukumiwe.
 
Mali zipi kaachiwa?
Coal, gas, gold North mara, port , wildlife , diamonds and others valuable minerals. Katika nchi zenye akili maliasili zinashikwa na taifa kwa manufaa ya nchi siyo kumpa mtu mmoja mwenye tamaa ya kujinufaisha
 
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa,

Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au kutofungwa.

Rais pia anaweza kuagiza kitu fulani kipelelezwe ama kiachwe

Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....

Turudi kwenye habari

KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.

Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.

#HabarileoUPDATES
Huyo amelimwa siku nyingi tunajua akikata rufaa atashinda
 
Enzi za Magu

Enzi za Magufuli mtumishi wa umma ukitaka kuiba,lakini ukiingalia picha yake ukutani,wewe mwenyewe unaahirisha kupiga tukio.
Alikuwa anaogopesha balaa.
Siku hizi watu wanachukua kama Mali yao.
Madawa ya kulevya na pembe za ndovu zinavushwa kama hakuna mwenyewe.
 
Ila wakati wa kampeni yake yake aliahidi kuwafunga mafisadi, akaanzisha hadi "mahakama ya mafisadi"
na imeshughulikia wahuni kma wakina Seth ambao walikua wanalipa hela walizoiba ila kimama tozo kikaja kikawasamehe na mwishowe tunawaona kweny michango ya fisiemu na viremba kama maajuza
 
Mkuu iko hivi mazuri na madhaifu ya JPM ni ya SSH na K. Majaliwa pia lakini mazuri na madhaifu ya SSH ni ya Mpango na Majaliwa pia.
Tuwalaum na kuwapongeza kwa umoja wao.
Kuwagawa vingoz wanaoongoza kwa pamoja ni hatari ya kuleta udini na ukanda usio na sababu.
Vinginevyo iwe miongon mwao akighairi na kusimama kinyume na uongoz husika waziwazi.
 
Back
Top Bottom