Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
1.Jeff Bezos anapata pesa kwenye commission atazokata kwenye mtandao wake wa Amazon.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mfano ni huyu bwana Jeff Bezos jamaa sahivi anamkimbiza Bill Gates kwenye list na matajiri.
Huyu jamaa mtandao wake unaingizaje hela?
Jack Ma wa AliBaba
Mark Zuckerberg wa Facebook,Instagram na WhatsApp anapigaje hela?
Maxence Melo je?
Hae Jin Lee huyu jamaa anamiliki mtandao wa LINE jamaa ana utajiri wa dola za kimarekani bilioni 1.2 anapigaje hela huyu?
Jack Dorsey wa Twitter huyu nae vipi?
Reid Hoffman wa Linkedln anapigaje hela huyu?
Evan Spiegel wa Snapchat anapigaje hela huyu?
Huyu jamaa wa google wa kuitwa Larry Page anapigaje hela huyu?
1.Jeff Bezos anapata pesa kwenye commission atazokata kwenye mtandao wake wa Amazon.
2.jack Ma sawa na Jeff pia
3. Mark anapata pesa kupitia ADVERTISEMENTS ambazo zinakuwa runned kwenye mitandao yake.
4.Larry Page sidhan kama kuna aja ya kumzungumzia coz android apps unazoziona, pia adsense na na zingine anaingiza pesa nyingi sana kwa matangazo.
NB: Matajiri wengi wanapata pesa nyingi kupitia ads waliowekeza kwenye mitandao ndio maana hadi leo unaona JAMII FORUM inaendelea kudumu na ina office na wafanyakazi haujawahi kujiuliza inapataje pesa wakati unaingia bure? au ZOOMTANZANIA wana office MASAKI na kawebsite chao kalekale neda zoom udownload package ya ads ndio utajua namna adsvertisement industry ilivyo na pesa.
Ubarikiwe sana mkuu kwa kujibu1.Jeff Bezos anapata pesa kwenye commission atazokata kwenye mtandao wake wa Amazon.
2.jack Ma sawa na Jeff pia
3. Mark anapata pesa kupitia ADVERTISEMENTS ambazo zinakuwa runned kwenye mitandao yake.
4.Larry Page sidhan kama kuna aja ya kumzungumzia coz android apps unazoziona, pia adsense na na zingine anaingiza pesa nyingi sana kwa matangazo.
NB: Matajiri wengi wanapata pesa nyingi kupitia ads waliowekeza kwenye mitandao ndio maana hadi leo unaona JAMII FORUM inaendelea kudumu na ina office na wafanyakazi haujawahi kujiuliza inapataje pesa wakati unaingia bure? au ZOOMTANZANIA wana office MASAKI na kawebsite chao kalekale neda zoom udownload package ya ads ndio utajua namna adsvertisement industry ilivyo na pesa.
Social media companies nyingi zinajihusisha na kitu kinaitwa "BIG DATA BUSINESS" Hapa wanauza data aina mbalimbali kwa matumizi mbalimbali( mema na mabaya) mfano mzuri ni kwamba mwaka 2016 marck zuck alikua anatoa 90% ya pesa inayoingia kwake kupitia fb kwenda kwenye charities na kulipia schoralships mbalimbali, lkn bado fb ikawa juu tu kwa kuingiza mapato, na ungefatilia hata wikipedia mda ule wangekwambia "fb still keeps secret on its sources of income" which means kuna biashara zaidi ya advertising inayofanyika pale.1.Jeff Bezos anapata pesa kwenye commission atazokata kwenye mtandao wake wa Amazon.
2.jack Ma sawa na Jeff pia
3. Mark anapata pesa kupitia ADVERTISEMENTS ambazo zinakuwa runned kwenye mitandao yake.
4.Larry Page sidhan kama kuna aja ya kumzungumzia coz android apps unazoziona, pia adsense na na zingine anaingiza pesa nyingi sana kwa matangazo.
NB: Matajiri wengi wanapata pesa nyingi kupitia ads waliowekeza kwenye mitandao ndio maana hadi leo unaona JAMII FORUM inaendelea kudumu na ina office na wafanyakazi haujawahi kujiuliza inapataje pesa wakati unaingia bure? au ZOOMTANZANIA wana office MASAKI na kawebsite chao kalekale neda zoom udownload package ya ads ndio utajua namna adsvertisement industry ilivyo na pesa.
Biashara iliyofichika hapo ni kwamba pia wana uza Data za watu kqa Makampuni mengine yanayohitajiSocial media companies nyingi zinajihusisha na kitu kinaitwa "BIG DATA BUSINESS" Hapa wanauza data aina mbalimbali kwa matumizi mbalimbali( mema na mabaya) mfano mzuri ni kwamba mwaka 2016 marck zuck alikua anatoa 90% ya pesa inayoingia kwake kupitia fb kwenda kwenye charities na kulipia schoralships mbalimbali, lkn bado fb ikawa juu tu kwa kuingiza mapato, na ungefatilia hata wikipedia mda ule wangekwambia "fb still keeps secret on its sources of income" which means kuna biashara zaidi ya advertising inayofanyika pale.
Ila nakubaliana na ulivyosema, ads kweli zinawaingizia sana kipato hawa wamiliki wa mitandao
Social media companies nyingi zinajihusisha na kitu kinaitwa "BIG DATA BUSINESS" Hapa wanauza data aina mbalimbali kwa matumizi mbalimbali( mema na mabaya) mfano mzuri ni kwamba mwaka 2016 marck zuck alikua anatoa 90% ya pesa inayoingia kwake kupitia fb kwenda kwenye charities na kulipia schoralships mbalimbali, lkn bado fb ikawa juu tu kwa kuingiza mapato, na ungefatilia hata wikipedia mda ule wangekwambia "fb still keeps secret on its sources of income" which means kuna biashara zaidi ya advertising inayofanyika pale.
Ila nakubaliana na ulivyosema, ads kweli zinawaingizia sana kipato hawa wamiliki wa mitandao