Hivi makampuni ya mawasiliano na mitandao ya kijamii inapataje faida?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mfano ni huyu bwana Jeff Bezos jamaa sahivi anamkimbiza Bill Gates kwenye list na matajiri.
Huyu jamaa mtandao wake unaingizaje hela?
Jack Ma wa AliBaba
Mark Zuckerberg wa Facebook,Instagram na WhatsApp anapigaje hela?
Maxence Melo je?
Hae Jin Lee huyu jamaa anamiliki mtandao wa LINE jamaa ana utajiri wa dola za kimarekani bilioni 1.2 anapigaje hela huyu?
Jack Dorsey wa Twitter huyu nae vipi?
Reid Hoffman wa Linkedln anapigaje hela huyu?
Evan Spiegel wa Snapchat anapigaje hela huyu?
Huyu jamaa wa google wa kuitwa Larry Page anapigaje hela huyu?
 
1.Jeff Bezos anapata pesa kwenye commission atazokata kwenye mtandao wake wa Amazon.
2.jack Ma sawa na Jeff pia
3. Mark anapata pesa kupitia ADVERTISEMENTS ambazo zinakuwa runned kwenye mitandao yake.
4.Larry Page sidhan kama kuna aja ya kumzungumzia coz android apps unazoziona, pia adsense na na zingine anaingiza pesa nyingi sana kwa matangazo.
NB: Matajiri wengi wanapata pesa nyingi kupitia ads waliowekeza kwenye mitandao ndio maana hadi leo unaona JAMII FORUM inaendelea kudumu na ina office na wafanyakazi haujawahi kujiuliza inapataje pesa wakati unaingia bure? au ZOOMTANZANIA wana office MASAKI na kawebsite chao kalekale neda zoom udownload package ya ads ndio utajua namna adsvertisement industry ilivyo na pesa.
 
Ubarikiwe sana mkuu kwa kujibu
 
Social media companies nyingi zinajihusisha na kitu kinaitwa "BIG DATA BUSINESS" Hapa wanauza data aina mbalimbali kwa matumizi mbalimbali( mema na mabaya) mfano mzuri ni kwamba mwaka 2016 marck zuck alikua anatoa 90% ya pesa inayoingia kwake kupitia fb kwenda kwenye charities na kulipia schoralships mbalimbali, lkn bado fb ikawa juu tu kwa kuingiza mapato, na ungefatilia hata wikipedia mda ule wangekwambia "fb still keeps secret on its sources of income" which means kuna biashara zaidi ya advertising inayofanyika pale.

Ila nakubaliana na ulivyosema, ads kweli zinawaingizia sana kipato hawa wamiliki wa mitandao
 
Biashara iliyofichika hapo ni kwamba pia wana uza Data za watu kqa Makampuni mengine yanayohitaji
 
WhatsApp bado haijaanza kuingiza hela, ila kwa ninavyoskia ni kuwa wanashare data zako na facebook, ambapo inasaidia facebook kuweza ku_deliver matangazo yanayoendana na activities zako mtandaoni
 
Tusiseme tu kuwa jamaa ni billionaire kwa kuuza data LIST ya MAKAMPUNI yake yaliyo chini ya Facebook inc. Hii hapa chini

  • AboutFace, August 2005 – $200 K

  • Parakey, July 19, 2007
  • ConnectU, June 23, 2008 – $31 Million
  • FriendFeed, August 10, 2009 – $47.5 Million
  • Octazen, February 19, 2010
  • Divvyshot, March 2, 2010
  • Friendster, May 13, 2010 – $40 Million
  • ShareGrove, May 26, 2010
  • Nextstop, July 8, 2010 – $2.5 Million
  • Chai Labs, August 15, 2010 – $10 Million
  • Hot Potato, August 20, 2010 – $10 Million
  • Drop.io, October 29, 2010 – $10 Million
  • FB.com domain name, November 15, 2010 – $8.5 Million
  • Rel8tion, January 25, 2011 – Undisclosed
  • BELUGA, March 2, 2011 – Undisclosed
  • snaptu, March 20, 2011 – $70 Million
  • RecRec, March 24, 2011 – Undisclosed
  • DayTum, April 27, 2011
  • Sofa, June 9, 2011
  • MailRank, June 9, 2011
  • Push Pop Press, August 2, 2011 – Undisclosed
  • Friend.ly, October 10, 2011 – Undisclosed
  • Strobe, November 8, 2011 – Undisclosed
  • Gowalla, December 2, 2011
  • Instagram, April 9, 2012 – $1 Billion
  • Tagtile, April 13, 2012 – Undisclosed
  • Glancee, May 5, 2012 – Undisclosed
  • Lightbox.com, May 15, 2012 – Undisclosed
  • Karma, May 21, 2012 – Undisclosed
  • Face.com, June 18, 2012 – $100 Million
  • Spool, July 14, 2012 – Undisclosed
  • Acrylic Software, July 20, 2012 – Undisclosed
  • Threadsy, August 24, 2012 – Undisclosed
  • Atlas, February 28, 2013 – Less than $100 Million
  • Osmeta, March 2013
  • Hot Studio, March 14, 2013
  • Spaceport, April 23, 2013
  • Parse, April 25, 2013 – $85 Million
  • Monoidics, July 18, 2013
  • Jibbigo, August 12, 2013
  • Onavo, October 13, 2013
  • SportStream, December 17, 2013
  • Little Eye Labs, January 8, 2014 – $15 Million
  • Branch, January 13, 2014 – $15 Million
  • WhatsApp, February 19, 2014 – $19 Billion
  • Oculus VR, March 25, 2014 – $2 Billion
  • Ascenta, March 27, 2014 – $20 Million
  • Liverail, August 14, 2014 – $500 Million
  • ProtoGeo Oy, April 24, 2014 – Undisclosed
  • Pryte, June 2014 – Undisclosed
  • PrivateCore, August 7, 2014 – Undisclosed
  • WaveGroup Sound, August 26, 2014 – Undisclosed
  • Wit.ai, January 6, 2015 – Undisclosed
  • Quickfire, January 8, 2015 – Undisclosed
  • TheFind, March 14, 2015 – Undisclosed
  • Surreal Vision, May 26, 2015 – Undisclosed
  • Pebbles, July 16, 2015 – $60 Million
  • Masquerade, March 9, 2016 – Undisclosed
  • Two Big Ears, March 23, 2016 – Undisclosed
  • Nascent Objects, September 19, 2016 – Undisclosed
  • Infiniled, October 10, 2016 – Undisclosed
  • CrowdTangle, November 11, 2016 – Undisclosed
  • Faciometrics, November 16, 2016 – Undisclosed
  • Ozlo, July 31, 2017 – Undisclosed
  • tbh(app) October 16, 2017 – Undisclosed
  • Fayteq , August 2017 – Undisclosed
The total cost of Facebook’s acquisitions to date is $ 23,124,700, 000. And that’s just from the acquisition costs they disclosed!
Facebook is a perfect example of a company that has more buying power than entire nation
 
Nmependa sana ulivyoichambua hiyo big data business, kama hautojali unaweza kuidadavua kiundani zaidi?

Back
Top Bottom