Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mfano ni huyu bwana Jeff Bezos jamaa sahivi anamkimbiza Bill Gates kwenye list na matajiri.
Huyu jamaa mtandao wake unaingizaje hela?
Jack Ma wa AliBaba
Mark Zuckerberg wa Facebook,Instagram na WhatsApp anapigaje hela?
Maxence Melo je?
Hae Jin Lee huyu jamaa anamiliki mtandao wa LINE jamaa ana utajiri wa dola za kimarekani bilioni 1.2 anapigaje hela huyu?
Jack Dorsey wa Twitter huyu nae vipi?
Reid Hoffman wa Linkedln anapigaje hela huyu?
Evan Spiegel wa Snapchat anapigaje hela huyu?
Huyu jamaa wa google wa kuitwa Larry Page anapigaje hela huyu?