Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
Chatu ni karibu na Uganda ,halafu mseven amekwishatembelea maeneo mengi ya tz kasoro chato
Ni vyema akatalii na chato jamani,mseven ni zaidi ya ndugu yetuMuseven alikwambia ndege haina mafuta ya kufika Dom?
Ziara binafsi ila tunatajiwa stigrer gorge .Mkuu sijui unakwama wapi?
ushaambiwa hiyo ni ziara binafsi na wala si ya kiserikali.
Pengine labda Mseveni kaamua kuja kumjulia hali mama wa Rais wetu sasa wewe utamzuia?
Rais naye ni mtu so lazima muda mwingine mahitaji ya kijamii yamhusu.
Jamaa anakwama pale maeneo ya ufipa Kinondoni.Mkuu sijui unakwama wapi?...
Kipindi tupo seminarini tulikuwa tunasema "Kusifu na kuabudu kunawapasa wanyoofu wa moyo"We jifanye mbishi tu, wenzako tunawahi viwanja Chato we umekalia kupika majungu JF - teh teh teh
Magufuli na Trump ni mbingu na bahari.... hata His Excellence Donald Trump ana estates zake ambazo mara kadhaa amekuwa "akiwaita" marais wa nchi za kigeni kukutana naye huko. Unakumbuka aliwahi kumwita Rais wa China Mar-a-Lago, Palm Beach, Florida? Rejea: https://www.trump.com/. Kwanini tusiige mazuri ya wenzetu? Au roho mbaya?
Hii nayo post ?, fala kweli weweSielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato.
Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii.
Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato?
Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu.
Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo kwenye bajeti iliyopita?
Mi nadhani hili jambo la umimi sio sawa kwasababu kila rahisi angejenga kwao kuna mikoa ingekuwa mapori hadi leo
View attachment 1151860