Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umenikumbusha mbali sana, Dar kuna Kajificheni Close Oysterbay huku Toure Drive karibu na kwa marehemu Jaji Francis Nyalali. Kuna nyumba ya Ubalozi wa China siku hizi nafikiri.Kuna kamtaa fulani kanaitwa Kajificheni Road sasa Chato imekuwa sehemu muafaka ya kujificha ili kumkimbia huyu Corona.
Kimtaa kimekaa kujificha kweli kweli ukienda huko unatokea nyumba za pwani baharini tu kuangalia Salender Bridge.
Ndiyo hivyo, mkuu kakimbilia "Kajificheni" ya huko kwao.